Gurudumu
JF-Expert Member
- Feb 5, 2008
- 2,349
- 261
Mi sioni Haja ya malumbano haya. Tumefika Hapa tulipo Leo kwa sababu wapiga kura wa zamani hawakutaka kukiangusha chama. Chama kikabweteka kikaanza kusimamisha wagombea wa hovyo. Wakawa tena hawafuati utashi wa wapiga kura bali wanajipanga namna watakavyoshirikiana kula na kutupora.
Sasa kama mtu anatuonya kutokurudia makosa, tunaacha hoja ya msingi tunajadili udini na ukabila. Hivi 2005 wakritu wangekuwa na fikra hizo JK angeshinda kwa kishindo?
Sasa kama mtu anatuonya kutokurudia makosa, tunaacha hoja ya msingi tunajadili udini na ukabila. Hivi 2005 wakritu wangekuwa na fikra hizo JK angeshinda kwa kishindo?