Elections 2010 Askofu Malasusa Naye Atoa Elimu ya Uraia: Chagueni mtu makini si chama

Nafikiri kile kipindi cha kuchagua chama kimepitwa na wakati maana hatujaona matunda yake, wakati huu tuangalie ni nani anaweza kutuvusha na si chama gani.
 
ngoja bi s akafanye kampeni za shuka kwa shuka hapo kumtoa askofu mapepo ya uchaguzi
 
Na ndivyo itakavyokuwa!

Lakini sisim ... waalizma hoja ya mgombania binafsi katika ngazi ya Urais...!
 
Tarehe 22 ni zamu ya masheikh kutoa muongozo wao wa nani kuchaguliwa oktoba 31.Safari hii kuchanganya dini na siasa ruhsa kama ilivyokuwa wakati wa kupigania uhuru.
 
Tarehe 22 ni zamu ya masheikh kutoa muongozo wao wa nani kuchaguliwa oktoba 31.Safari hii kuchanganya dini na siasa ruhsa kama ilivyokuwa wakati wa kupigania uhuru.

Hapa maaskofu hawajataja nani achaguliwe. Wametaja sifa. Kama JK anazo usiwe na shaka. Bila shaka safari hii lazima ile kwenu
 
"Waliponiletea kadi ya mwaliko, niliwauliza nani mwingine atakayehudhuria hafla hii?"
Alikuwa anahofia kukutana na nani huko?
 
Ukiachilia mbali Askofu Malasusa ambae hajawahi kushika uongozi katika CCM unaweza ukadharau mamneno yake japo yana ujumbe mfupi sana....lakini kwa Rais mstaafu ambae alishakua mwenyekiti wa CCM lakini hakusema tuichague CCM nadhani kwa mtu mwenye uwezo wa kufikiri utakua umeshajua kuna jambo linaendelea. Tatizo ni kwa nini hawatuweki wazi. Kwa nini wasitamke chagua flani???? atleast kwenye ngazi ya Urais. Ingekua vyema kama wangesema chagua Kikwete koz ni mwenzao katika CCM ila hawajamtaja....wanachosema ni chagua mtu na si chama...........

Hawa watu wanatuambia tumchague Slaa dhidi ya Kikwete sema hawana uthubutu wa kulitamka hili....wanaijua System kuliko sisi tunavyoijua...na wameshaona kuwa something is wrong within the system na the only man to wipe off our tears ni SLAA.....Am sure one day one them will dare to say this b4 31st....
 
SIKU 16 kabla ya kufanyika wananchi kupiga kura, askofu mkuu wa Kanisa la Anglikana, Dk Valentino Mokiwa amedai kuwa hivi karibuni alipelekewa rushwa ya Sh11 milioni na mtu asiyemfahamu ili asizungumze masuala ya uchaguzi.

Dk Mokiwa alisema hayo kwenye tamasha la kuombea uchaguzi mkuu lililoandaliwa na Usharika wa Yombo wa Kanisa la Kiinjili la Kulutheri Tanzania (KKKT) Dar es Salaam jana.

Alisema tukio hilo lilitokea siku moja baada ya watu wawili mmoja akiwa anamjua kwenda nyumbani kwake kwa lengo la kumsalimia ambapo alizungumza nao kisha wakaondoka.

"Siku moja baadaye, mlinzi alinipigia simu akaniambia yule mgeni wa jana ameleta ….nikamwambia kwa nini ulichukua? sina ahadi na mtu yeyote kuniletea mzigo," alisema Dk Mokiwa.

Alifafanua kuwa taarifa hizo zilimlazimu aende nyumbani kwake ili kujua nini kimeletwa... na alipofungua alikuta fedha taslimu Sh11 milioni ambazo zilimtia wasiwasi.

"Nikampigia yule ninayemfahamu nikamwambia njoo uchukue fedha za jamaa yake, akaniambia 'usiwe na wasiwasi', nikamwambia haiwezekani njoo akaja akachukua zile fedha," alisema.

Aliongeza kuwa alikumbuka maneno ya mtu yule wakati walipokwenda nyumbani kwake kuwa nyinyi (viongozi wa dini) mkizungumza nchi inatikisika, akaona ile ilikuwa ni rushwa ili anyamaze kuzungumzia masuala ya uchaguzi mkuu ujao.

Alisema aliamua kukataa fedha hizo kwa sababu alikuwa na wasiwasi asije baadaye akaambiwa na yeye alipewa fedha za rushwa na kumalizia nyumba yake kwani ile kwake ilikuwa ni rushwa ili anyamaze.

Akizungumzia hoja yake iliyopingwa na taasisi za serikali zinazohusiana na rushwa na uchaguzi kwa madai kuwa anahamasisha watu kupokea rushwa, Dk Mokiwa alisema:

"Mimi sikuhamasisha rushwa ila nilikuwa nawapinga viongozi wabaya wanaotoa rushwa kwa wapiga kura. Sheria ya Gharama za Uchaguzi si mbaya, lakini wasimamizi wa sheria hiyo ndio wabaya," alisema Dk Mokiwa.

Alidai kuwa atafanya awezalo kuhakikisha kuwa viongozi wala rushwa hawaiongozi nchi hii kwa sababu mwaka huu rushwa imeenea na wakati huu wa kampeni rushwa ndio inaliwa sana na viongozi wasiokubalika ndio watoa rushwa.

"Tunamuomba Mungu leo, tupate viongozi ambao hawajawahi kutuongoza nchi hii; viongozi watakaotuletea amani bila ya kuwepo polisi shirikishi kwa kuwa hapa tulipofika ni matokeo ya kuwapa ushirikiano viongozi wabovu," alisema.

Akizungumzia kauli ya vyombo vya usalama juu ya amani kulekea kwenye uchaguzi, Dk Mokiwa alisema ili kulinda amani iliyopo hakuna budi vyombo hivyo vikatenda kazi yake bila ya upendeleo katika kusimamia uchaguzi.

"Nani alisema hakuna amani, tatizo ni vyombo hivi vinataka kuwalinda watu waendelee kuongoza wakati wananchi wamewachoka. Wanatakaiwa wawe fair katika usimamizi," alisema.
 
Wadau gazeti la mwananchi la leo lina habari ya Baba Askofu Dr. Malasusa kutoa Elimu Ya Uraia. Inatia Moyo Hata Kama NEC watachakachua

Bofya hapa
Malasusa: Chagueni mtu makini si chama

Mzee wetu Ali Hassan Mwinyi naye amesisitiza jambo hilo hilo

Bofya
Mwinyi ahimiza wananchi kuchagua viongozi bora

"""Tumedanganywa vya kutosha miaka mingi, na kuchagua chama. "Tunahitaji kutulia na kumuomba Mungu ili atuelekeze njia ya kupata na kuchagua kiongozi bora na atakuwa nasi katika Uchaguzi Mkuu". Kauli ya Dk Malasusa inakuja siku chache baada ya viongozi wa makanisa Katoliki, KKKT na Pentekoste mkoani Kilimanjaro, kutoa waraka unaowataka waumini wao kuchagua mgombea anyafaa kuwaletea maendeleo badala ya chama cha siasa""" CHANZO: Malasusa: Chagueni mtu makini si chama

SIPATI PICHA HALI INGEKUWAJE KATIKA JAMIIFORUMS IWAPO MANENO HAYA YANGESEMWA NA MMOJAWPO WA MASHEIKHE. LAKINI LEO YAMESEMWA NA ASKOFU MAMBO NI SHWARI. KWELI KUNYA ANYE KUKU AKINYA BATA KAHARISHA.

ukiachilia mbali askofu malasusa ambae hajawahi kushika uongozi katika ccm unaweza ukadharau mamneno yake japo yana ujumbe mfupi sana....lakini kwa rais mstaafu ambae alishakua mwenyekiti wa ccm lakini hakusema tuichague ccm nadhani kwa mtu mwenye uwezo wa kufikiri utakua umeshajua kuna jambo linaendelea. Tatizo ni kwa nini hawatuweki wazi. Kwa nini wasitamke chagua flani???? Atleast kwenye ngazi ya urais. Ingekua vyema kama wangesema chagua kikwete koz ni mwenzao katika ccm ila hawajamtaja....wanachosema ni chagua mtu na si chama...........

Hawa watu wanatuambia tumchague slaa dhidi ya kikwete sema hawana uthubutu wa kulitamka hili....wanaijua system kuliko sisi tunavyoijua...na wameshaona kuwa something is wrong within the system na the only man to wipe off our tears ni slaa.....am sure one day one them will dare to say this b4 31st....

kumuelewa alhaji hassan mwinyi ni lazima ukijue kiswahili ipasavyo. Yee ni mswahili hasa, anaongea lugha ya kiswahili. Aliposema chagueni viongozi bora alimaanisha viongozi kutoka ccm kwani ccm ndio ina viongozi bora. Sema wee hukumwelewa, rudia tena hotuba yake na kisha umsikilize kwa makini.
 
Tarehe 22 ni zamu ya masheikh kutoa muongozo wao wa nani kuchaguliwa oktoba 31.Safari hii kuchanganya dini na siasa ruhsa kama ilivyokuwa wakati wa kupigania uhuru.

Waatambiwa Masheikh hawana elimu ,wana elimu za Madrasa!wadini!Akitamka Akofu anatoa elimu ya Uraia
 
Waatambiwa Masheikh hawana elimu ,wana elimu za Madrasa!wadini!Akitamka Akofu anatoa elimu ya Uraia
kwani uwongo anayeshabikia ccm/kikwetu hana upevu wa mambo hebu jiulize kwanini Tanzania isiwe kama Mauritius in Moo ibrahim's index? wakati Mauritius wana sukari tu sisi tuna kila kituuu! Au kwanini leo hii uwajue mafisadi ila Kikwete asiwajue? Ni dhahiri tumekosa uongozi bora na ni watu wa Madrasa bila elimu dunia tu ndo wanaweza pinga! ninajuta kumpigia Kikwetu 2005, kila ranks Tanzania imeshuka at World stage! tumechoka na sikio lisiloskia dawa!
 
Mpuuzi mwingine anafundusha watu wachague sura sio sera!!! Allahu akbar

Kamatukiangalia umakini basi mchungaji mwenzake Slaaa hafai kabisa hana umakini kwa sababu zifuatazo:

1- Decision zake mbovumbovu kwa kuacha kazi ya Mungu kukikmbilia siasa
2- Kakimbizwa ukatibu wa chama cha kikatoliki
3- Kaowa mke wa mtu bila kufanya uchunguzi wa makini
4- Chama chake kina asili ya udini, ukabila na udicteta anshindwa kuukemea
5- Kavuncha amri za ukatoliki, kwa kuowa na kuacha na kuowa tena mke wa mtu
6- Alikuwa mkereketwa wa CCM, alipo nyimwa ubunge akahamia chama cha mtandao wa kanisa
7- nk..........

Mchungaji Slaa hana umakini kabisa katika uamuzi wake, kwa hiyo huyu mchungaji angeweka wazi bila kujikanyaga na pili angewafundisha kondoo wake wachague sera si sura. Ohfyuuuu

These comments comes from a great thinker????????????????????
 
Tarehe 22 ni zamu ya masheikh kutoa muongozo wao wa nani kuchaguliwa oktoba 31.Safari hii kuchanganya dini na siasa ruhsa kama ilivyokuwa wakati wa kupigania uhuru.
Hata mkimtaja Jakaya kwa jina msikitini hatachaguliwa maana waislamu wengi wameenda shule na wanachukia ufisadi sasa. Pole. Wambie watoe tamko sie tunasubiri:dance:
 
Mpuuzi mwingine anafundusha watu wachague sura sio sera!!! Allahu akbar

Kamatukiangalia umakini basi mchungaji mwenzake Slaaa hafai kabisa hana umakini kwa sababu zifuatazo:

1- Decision zake mbovumbovu kwa kuacha kazi ya Mungu kukikmbilia siasa
2- Kakimbizwa ukatibu wa chama cha kikatoliki
3- Kaowa mke wa mtu bila kufanya uchunguzi wa makini
4- Chama chake kina asili ya udini, ukabila na udicteta anshindwa kuukemea
5- Kavuncha amri za ukatoliki, kwa kuowa na kuacha na kuowa tena mke wa mtu
6- Alikuwa mkereketwa wa CCM, alipo nyimwa ubunge akahamia chama cha mtandao wa kanisa
7- nk..........

Mchungaji Slaa hana umakini kabisa katika uamuzi wake, kwa hiyo huyu mchungaji angeweka wazi bila kujikanyaga na pili angewafundisha kondoo wake wachague sera si sura. Ohfyuuuu

mungu akusamehe kwa upuuzi wako siku ya mwisho usichomwe na moto wa milele
maana hujui ulitendalo
 
Mpuuzi mwingine anafundusha watu wachague sura sio sera!!! Allahu akbar

Kamatukiangalia umakini basi mchungaji mwenzake Slaaa hafai kabisa hana umakini kwa sababu zifuatazo:

1- Decision zake mbovumbovu kwa kuacha kazi ya Mungu kukikmbilia siasa
2- Kakimbizwa ukatibu wa chama cha kikatoliki
3- Kaowa mke wa mtu bila kufanya uchunguzi wa makini
4- Chama chake kina asili ya udini, ukabila na udicteta anshindwa kuukemea
5- Kavuncha amri za ukatoliki, kwa kuowa na kuacha na kuowa tena mke wa mtu
6- Alikuwa mkereketwa wa CCM, alipo nyimwa ubunge akahamia chama cha mtandao wa kanisa
7- nk..........

Mchungaji Slaa hana umakini kabisa katika uamuzi wake, kwa hiyo huyu mchungaji angeweka wazi bila kujikanyaga na pili angewafundisha kondoo wake wachague sera si sura. Ohfyuuuu
Slaa hana chake na Ukristo Tanzania ndio unajizika wenyewe kwa kujionesha kuwa hauna mafunzo madhubuti.
Itakuwaje wahamasishane kumchagua mtu ambaye amevunja mafunzo ya kanisa.
 
Back
Top Bottom