Askofu Kulola akamilisha kazi aliyolipwa kuifanya...

Yesu alizaliwa wakati taifa lake likitawaliwa na utawala wa kiimla wa Warumi, lakini hakuna hata siku moja Yesu alijihusisha kwa namna yoyote kwenye siasa, hata pale alipowekewa mitego ili atoe maoni ya kisiasa. Wale wanaojiita watumishi wa huyu Yesu, wanaoenda kinyume na Yesu mwenyewe, ndio manabii wa uongo. Maana Yesu ni kielelezo. Hakujihusisha na siasa na aliwaambia ufalme wake si wa hapa duniani.:kev:
Kwa nini mnakubali kudanganywa na kudanganyika? Biblia inapatikana katika lugha yoyote uitakayo, kwa nini usiitafute na kujisomea ujue ukweli. Yesu Kristu aliwahi kumuuita mbweha mtawala Herode. Soma utajua ukweli achana na maneno ya vijiweni.
 
Kama kafa kweli apokelewe kwenye kituo cha ibilisi karibu na kaburi la kuzimu rest psnapostahili.
Msihukumu msije mkahukumiwa! Mimi sikuhukumu ila nakuonya kuwa aachana na kazi ya ibilisi unayofanya. Kuaanzia avatar na jina vyote vinakutambulisha kama agent wa ibilisi. Basi, chukua hatua; haukuumbwa ili uwe mtumwa wa ibilisi.
 
Back
Top Bottom