Askofu Kulola akamilisha kazi aliyolipwa kuifanya...

Who is Kulola hebu tusaidiane hapa, manake inaonekana hajui uchungajia wake huyo
 
Amesahau kazi yake ya kishetani anayoifanya kwa sasa!
Huyu naye kakosa maarifa. Mimi nina doubt sana naye na huo uaskofu wake, inaonesha kapewa mshiko wa kutosha au kaahidiwa kitu kikubwa sana na JK au swahiba wake, LAKINI ATAKUJA KUJUTA NA KUTOA USHUHUDA WA WAZI

Mkuu,
Kama watu wenye heshima kubwa ya kidini na kimaadili kama askofu Valentine Mokiwa wanapewa Shs. 11 million, unategemea Kulola apewe kitu cha maana? Huyu anapewa kama zile za akina Mtikila , milioni tatu hadi tano mwisho.
Na kwa hizo yuko radhi kuuza utu wake, watu wake na uhai wa taifa letu kwa watu wasioitakia mema Tanzania yetu....
 
mwambieni huyo babu kuwa hata ajenti wa shetani hustaafu!kama hataki kustaafu tutampiga pawa kwa jina la Yesu!
aisee huyu mzee nilimheshimu sana kumbe hakuna kitu lol!!!
 
Askofu Kulola ni mwana CCM wa damu, aliwahi kusema ccm iko damu mwake. alisema hivyo akiwa Dar kwenye mahubiri.

Mwingine ambaye ni mshabiki wa JK ni Mzee wa upako yaani Lusekelo. Kwenye mahubiri yake alipinga sana viongozi wa dini kuelimisha waumini wao. Pia alisema siasa sihasa. Alipinga sana kina Kakobe kubadilisha siku ya ibada. Ni mshabiki sana wa JK.

Washabiki wengi wa JK huwa hawapingi rushwa na vurugu za CCM.
 
Iliripotiwa hapa JF kuwa baba askofu Moses Kulolwa atafanya mahojiano yatakayoonyeshwa katika vituo vya television kwa gharama za CCM. Naona kweli huyu mzee amekamilisha kazi yake aliyoiita 'kazi ya Mungu'. Jana alionakana kwenye TV akisema kuwa wanaompinga au kumuasi au kumuombea 'mfalme' (Kikwete) aliyepo madarani aondolewe wanafanya kazi za shetani...


Mzee huyu huwa ana busara lakini hii nadhani sitamraumu sana kwa kuwa labda amepitiwa na pepo mchafu. Mungu atamrejesha kwenye ukweli
 
Huyu mzee aliniachaga hoi alipomkandia kwa sana babu wa Loliondo ,alijenga homa dhaifu mno nikasema Loh huyu ndiye Kulola Mkuu wa kanisa kweli?
 
Who is she no who is he? Wamepotoka, af weng wapo kwenye ile dini, ukifika unaambiwa hata fulan yupo!
 
Kumuunga mkono si tatizo ila aache kutumia shida za waumin kuwaingiza ccm, kwanza ccm wamekana hawana dini hivyo ni mamsukule, hawana waislam wala wakristo.
 
kama Mzee kulola nae.alitembezewa bahasha kama kina mtikila. Mungu babba naamsamehe
 
kafanya nini tena naye mtumishi wa Mungu, mbona nilimwona akisema ya ukweli kabisa?
Yesu alizaliwa wakati taifa lake likitawaliwa na utawala wa kiimla wa Warumi, lakini hakuna hata siku moja Yesu alijihusisha kwa namna yoyote kwenye siasa, hata pale alipowekewa mitego ili atoe maoni ya kisiasa. Wale wanaojiita watumishi wa huyu Yesu, wanaoenda kinyume na Yesu mwenyewe, ndio manabii wa uongo. Maana Yesu ni kielelezo. Hakujihusisha na siasa na aliwaambia ufalme wake si wa hapa duniani.:kev:
 
Kama kafa kweli apokelewe kwenye kituo cha ibilisi karibu na kaburi la kuzimu rest psnapostahili.
 
Sala yako imejibiwa!.
RIP Kulola
Sikumuombeya MABAYA ama BALAA,
Bali nilitoa ushauri kuwa apumzike sasa kutokana na safari ndeefu ya kumtumikia Mungu. Rehema za Mungu huambatana na WAMWAMINIO mkuu wangu.

Amefariki,
Amepiga mbio amemaliza,
Vita vya Imani Ameishinda,
Yu mikononi mwa Aliyemuumba sasa.

Sisi tuliobaki tumwandalie mazishi ya KIFAHARI kama desturi yetu. Lakini naamini hakujitwalia UFAHARI wa Mungu katu.

Poleni wafiwa
 
Back
Top Bottom