drphone
JF-Expert Member
- Sep 29, 2009
- 3,542
- 281
Geoff umenena
Imani ni kama madawa ya kulevya yaani inawezamtoa mtu akili kabisa na kufanya mambo ya kutisha. Angalia wale wanaojitoa muhanga kwa minajili ya kuipigania imani zao! Na sasa hawa wa Kakobe. Jamani kwa nini hatujifunzi kutokana na yatokeayo? Ninamkumbuka Kibwetere mimi.
dini ni sindano ya ganzi