Mess
JF-Expert Member
- Mar 2, 2009
- 661
- 181
Watanzania wengi hatujui sheria, kuna vifungu vingi sana ambavyo vinahitaji kurekebishwa maana vinazipa mamlaka fulani fulani nguvu kubwa sana. Hata hivyo naona askofu kakobe ametusaidia kujua mambo mengi na pia kuonesha misimamo lakini hata hivyo bado kuna vifungu ambavyo vinambana. Tanesco kama mlisikia TBC wanasheria wakisema kama vifungu vile vitakuwepo basi atakuwa ameshindwa.