Askofu Kakobe,Don Moen na Krystaal kuhudumu pamoja Toronto~2013

BAOBAO

JF-Expert Member
Oct 12, 2012
1,874
547
DON & BZKIM.php.jpg 2_toronto_crusade KAKOBE.jpg CANANA B.jpg donmoen.jpg krystaal band canada.jpg
 
iko poa askof we2 inapendeza kuwakilisha.................japo itakuwa ngumu askofu we2 wa tz kuchaguliwa kuwa papa wa vatikan
 
View attachment 85508 Matangazo ya ziara ya askofu Kakobe katika jiji la Toronto;yanaendelea kusambazwa duniani.Wengi wameahidi kuhudhuria katika mkutano huo kwa mujibu wa tovuti !
 
Wakuu,habari nilizopata kwa ndugu yangu,kuhusu maandalizi ya mkutano wa askofu Kakobe nchini Canada;zinasema kuwa ni maandalizi ambayo hayajawahi kufanyika katika jiji la Toronto,kwa habari mikutano wa injili !!! Watu wa Canada wanaamini mkutano wa Kakobe utakuwa wa kihistoria,na kuvunja rekodi !!! Ni matarajio yangu,tuzidi kupeana michapo kuhusu ziara za Kakobe kama mtanzania mwenzetu,aliyetangaza kupeperusha bendera ya Tanzania na kiswahili ulimwenguni.
 
Back
Top Bottom