Askofu Basileus Ezekiel Mabumba: Lowassa asipokuwa Rais 2015 mniue!

Nenda kamwambie huyo askofu ajiue mwenyewe, sisi sio wauaji anataka kuwapa watu mada kesi kwa ushabiki wake.
Haituhusu kwanza.

inashangaza, maneno aseme yeye alafu anataka wengine ndo wamuue, kwani asinywee sumu mapema au akatafuta kitanzi chake akajitundika kabisa! nani kamwambia cc ni wauaji? ila tusubiri ka hatujasikia harambee na mgeni rasm el. tym will tell.
 
jamani ,umpe kura lowassa umerogwa,kwanza atapitishwa na chama gani, labda akitaka kutengeneza cv kuwa ameishawahi kugombea urais basi ajiunge na chama cha mtikila- DP PARTY. Ila cv ya kuchukua fomu ya kugombea urais anayo ingawa MWL NYERERE alimdisqualify kwamba ANAUTAJIRI WA KUPINDUKIA na hakutoa majibu mpaka leo .Huyu captain wa jeshi ni afadhali aendelee kufanya biashara zake nasio urais

Baada ya kuchukua fomu atasimama jukwaa gani? Anatafuta kuzikwa akiwa hai na wananchi wenye hasira.
 
Naona baada ya kifo cha mnadhimu, yahaya sasa askofu naye ameamua kubeba mikoba ya unajimu.kumbe ishakuwa dili sawa baba askofu itabidi nikutafute nikupe dili.
 
kiukweli Lowassa ni mchapa kazi mzuri sana ndani ya nchi ya hii, na toka enzi za uelewa wanga sikuona kiongozi mkuu serikali ya Tz aliyekuwa akiogopeka kwenye halmashsuri za wilaya kama Lowassa tokana na utendaji wake mzuuri wa kazi, Lakini kwa hii kashifa aliyoipata 2mwachie mwenyezi mungu na wapiga kura wa kitanzania, ila kwa upande wangu kura yangu yangu anayo kwani lile sio gunia la misumari kama hili la sasa!!!
 
Richard wa Monduli (Rich- Mond) akamzaa Dowans. Dowans akamzaa Symbion, mgao wa umeme ikawa historia. Bado mvua kutoka Thailand. Lowasa Big Up.
 
Tatizo la Lowassa ni kichwa...ana pupa sana ..ana pupa kwenye hela kwenye madaraka

Askofu alitakiwa amwombea kwanza hizo pepo zimtoke kwanza
 
Hatutaki tena rais anayechaguliwa na Mungu wa hawa maaskofu.Wapeleke njaa zao mbali.Hakuna wenye kuwajali wananchi.Wakisapoti wana maslahi yao hao.
 
kiukweli Lowassa ni mchapa kazi mzuri sana ndani ya nchi ya hii, na toka enzi za uelewa wanga sikuona kiongozi mkuu serikali ya Tz aliyekuwa akiogopeka kwenye halmashsuri za wilaya kama Lowassa tokana na utendaji wake mzuuri wa kazi, Lakini kwa hii kashifa aliyoipata 2mwachie mwenyezi mungu na wapiga kura wa kitanzania, ila kwa upande wangu kura yangu yangu anayo kwani lile sio gunia la misumari kama hili la sasa!!!
Always mnafikiria ndani ya box.Acheni ku zilimit fikra zenu to that extent.Nani kasema viongozi ni hao hao mnaowafahamu nyie?Kuna watanzania wengi sana wenye uwezo wa kuongoza na hamuwafahamu..Ambao hawamo kabisa kwenye hizo cycles za kifisadi na za kisiasa at this time.Hadi kizazi cha fikra sahihi kipitilie mbali ndo tunaweza kubadilika....Tunahitaji viongozi wapya wenye mawazo mapya na uchungu wa kweli na Taifa letu...Kung'ang'ania mtu awe kiongozi kama vile ni yeye tu aliyezaliwa Tanzania ni upuuzi.Ukiritimba wa kimawazo utawamaliza.Nani kakwambia tunahitaji viongozi miongoni mwa mafisadi?Wengine tunafikira mapinduzi wewe unatuletea recycles.To hell with you and those who thinks like you.
 
mabishano ya nini wkt muda utafika,tutumie forum kujadili mambo yenye manufaa kwa taifa zima na si vikundi fulani au wanachama fulani. IT'S SIMPLE,DONT FIGHT, TIME WILL TELL US WHO WILL BE THE 5TH PREZDA OF TZ
 
Lowasa licha ya kashfa zake zote hzo,anafaa kuongoza nchi hii,hataiba tena,ila mkimpa mnyamwez ndo duu tumekwsha
 
by daway who is nyerere? Si mtu kama mim wewe vipi sio kila aliosema yeye ni sheria mengine aliongea kwa interest zake binafsi.na chuki zake za kizanaki hasa kwa mtu aliyeona atamfunika nani asiyemjua huyu dikteta na mroho wa madaraka

we mzima kweli kichwani? Unajilinganisha na mwl nyerere kwa lipi ulilofanya hapa dunian, naona pumba zako kamwambie hawala yako hapa si mahara pake.
 
Back
Top Bottom