Askofu Basileus Ezekiel Mabumba: Lowassa asipokuwa Rais 2015 mniue!

Ni Kakobe au nani huyo?.Vipi tena kamtupa mkono Slaa!.Tatizo hawa maaskofu hawana uoni sahihi wanategemea ndoto za shetani kama yule babu wa LoL...[/ THE greater thinker una uhakika na unasema, au unaongea ili uonekane nawe umechangia? Je wewe uono wak sahihi ni upi juu ya hili kama huyo hana uoni sahihi
 
Lowasa asipokuwa Rais 2015 mniue - Askofu (Gazeti la Nyakati,10th Julai). Ngoma imeanza!

Akipitishwa na chama chake au akiwa mgombea binafsi kura nitampa!!! Mimi mtu anayeweza kufanya mambo yatokee kwangu ni muhimu bila kujali anakitu gani au kachukuwa nini. Lowasa yupo juu!!! hamtaki eeeeeh?
 
Lowassa tunakuamini na tunakuhitaji. Tafadhali gombea urais 2015 ili serikalimakini inayowajibika kwa wananchi wake ipatikane. Tunakuombea ushinde. Achana na wahuni wa ccj maana tayari wana chama chao ccj.
 
Hehehe, naona wewe na msema hovyo mnaendena. Haya kila laheri. Tukutane 2015 kwenye kampeni.
 
Yaani mashabiki wa Lowassa hamchoki? Kila siku anakubalika, kila siku ni mchapa kazi, lakini haijabadilisha ukweli kuwa kila siku ni mwizi.
 
Kuna nukuu ya Mwalimu Nyerere inayosema kuwa Lowassa hafai ata kuwa kiongozi wa mifugo!
Labda anakubalika kwako na familia yako awe kiongozi wa bata!
 
kwedikwezu
Join Date : 6th June 2011
Posts : 35
Rep Power : 0

TUHURUMIENI WATANZANIA LOWASA APUMZIKE MAANA ATAISHIA JELA KWA MAKOSA ALIYOTUFANYIA, URAIS WETU PIA AWAACHIE WATZ WENGINE
 
Kuna nukuu ya Mwalimu Nyerere inayosema kuwa Lowassa hafai ata kuwa kiongozi wa mifugo!Labda anakubalika kwako na familia yako awe kiongozi wa bata!
Naomba uiwekee hapa hiyo link iwe video au audio ya kauli ya Mt JK Nyerere ili kuondoa propaganda za TISS. Mara ohoo Magufuli mgonjwa, ohoo Dr Salim alimua Baharia Karume,ohoo membe mdini!!
 
Back
Top Bottom