Askofu atangaza kugombea ubunge 2015

Kanisa la ukweli hapa duniani ni RC tu haya mengine ni waganga njaa tu, kwa sheria za rc hairuhusiwi kuchanganya siasa na dini. Kama ni padre haruhusiwi kutumikia siasa, ile kauli ya " ya Mungu mpe Mungu na ya kaisari mpe kaiser inafatwa kabisa kikamilifu"
hawa wengine wanatumikia mali familia na siasa na ndo maana makanisa yao hayaendelei, ona kanisa katoliki linvyoshamiri, linaweza hata kuendesha serikali, kwa maana ya serikali kuwa ni ya watu ndo pekee lingeweza kutumikia wananchi coz lipo mpaka madongo kuinama ambako serikali haipo.
Big up my church
 
Anaposema 'wabunge waliopo hawana utukufu wa Mungu' anamaanisha nn? Kwa maneno hayo nna hamu ya kumsikia Rwakatare akitoa majibu.
 
Kanisa la ukweli hapa duniani ni RC tu haya mengine ni waganga njaa tu, kwa sheria za rc hairuhusiwi kuchanganya siasa na dini. Kama ni padre haruhusiwi kutumikia siasa, ile kauli ya " ya Mungu mpe Mungu na ya kaisari mpe kaiser inafatwa kabisa kikamilifu"
hawa wengine wanatumikia mali familia na siasa na ndo maana makanisa yao hayaendelei, ona kanisa katoliki linvyoshamiri, linaweza hata kuendesha serikali, kwa maana ya serikali kuwa ni ya watu ndo pekee lingeweza kutumikia wananchi coz lipo mpaka madongo kuinama ambako serikali haipo.
Big up my church
Hapo mwishoni uliposema 'madongo kuinama ambako serikali haipo' ndio nimepata picha ya upeo wako wa darasani.
 
Askofu Mwombeki huyu huyu nimjuaye? Shemeji yangu? Nakutakia mafanikio Mema kwenye mipango yako..
 
Askofu ana njaa sadaka hazitoshi anataka kula ya Kaizari sasa
 
Kanisa la ukweli hapa duniani ni RC tu haya mengine ni waganga njaa tu, kwa sheria za rc hairuhusiwi kuchanganya siasa na dini. Kama ni padre haruhusiwi kutumikia siasa, ile kauli ya " ya Mungu mpe Mungu na ya kaisari mpe kaiser inafatwa kabisa kikamilifu"
hawa wengine wanatumikia mali familia na siasa na ndo maana makanisa yao hayaendelei, ona kanisa katoliki linvyoshamiri, linaweza hata kuendesha serikali, kwa maana ya serikali kuwa ni ya watu ndo pekee lingeweza kutumikia wananchi coz lipo mpaka madongo kuinama ambako serikali haipo.
Big up my church

Lini uliingia RC mkuu?
 
Mh kwenda mbinguni c kazi rahisi.Vilevile nina mashaka na uaskofu wake.Inawezekana alijipa mwenyewe.....Na baada ya kuona mapato kwa njia ya sadaka yamepungua kwasababu ya hali ngumu ya maisha anataka akimbilie bungeni kwenye posho za masaburi...HAYA WAUMINI WA HUYO ASKOFU KAENI CHONJO KWANI WAJINGA NDIO WALIWAO.
 
Kanisa la ukweli hapa duniani ni RC tu haya mengine ni waganga njaa tu, kwa sheria za rc hairuhusiwi kuchanganya siasa na dini. Kama ni padre haruhusiwi kutumikia siasa, ile kauli ya " ya Mungu mpe Mungu na ya kaisari mpe kaiser inafatwa kabisa kikamilifu"
hawa wengine wanatumikia mali familia na siasa na ndo maana makanisa yao hayaendelei, ona kanisa katoliki linvyoshamiri, linaweza hata kuendesha serikali, kwa maana ya serikali kuwa ni ya watu ndo pekee lingeweza kutumikia wananchi coz lipo mpaka madongo kuinama ambako serikali haipo.
Big up my church

Ujinga wa mtu ndiyo akili zake.....unataka tufuate sheria za RC au sheria za Mungu? don't interpret bible out of context fuatilia ujue nini context ya "ya kaisari na ya Mungu" nani aliwaambia eti watumishi wa Mungu wa Mbinguni hawatumikii familia soma 1timothy 3:1-7,kwa ufupi verse 5 if any one does not know how to manage his family how can he take care of God's church?
siasa na dini au na shughuli zingine kama za kitaaluma vinaweza kufanyika kwa pamoja only what you need is habit of efficiency and time management kama Abraham Lincoln au nenda pale UDSM kuna father mmoja nadhani ni Dr, ni lecturer pale kwa concept yako ni kwamba aache uhadhali ili aendelee kuongoza misa? unashindwa kuelewa hata falsafa za kanisa Katholiki kwamba wanamhudumia Mwanadamu Roho (kanisani,misa maombi n.k) lakini pia mwili (yaani siasa, elimu, afya n.k).

umesema kanisa katholiki lianashamiri nini kilimpeka hima pope Latin America kama si ku harmonize watu waliokuwa wanalikimbia na hata sasa wakiendelea kulikimbia baada ya kugundua kuwa mbinguni hatuendi kwa kufuata sheria za kanisa bali za Mungu!!!
MUNGU AKUBARIKI!
 
Ashumu ni Kilaini au Pengo anatangaza nia; l m sure wake wanaimba Mfumo Kristu wangejilipua kabisa. This tells me kuwa kanisa ni katoliki tu; mengine ni madhehebu, ndio maana hata haitishii amani!
 
Kanisa la ukweli hapa duniani ni RC tu haya mengine ni waganga njaa tu, kwa sheria za rc hairuhusiwi kuchanganya siasa na dini. Kama ni padre haruhusiwi kutumikia siasa, ile kauli ya " ya Mungu mpe Mungu na ya kaisari mpe kaiser inafatwa kabisa kikamilifu"
hawa wengine wanatumikia mali familia na siasa na ndo maana makanisa yao hayaendelei, ona kanisa katoliki linvyoshamiri, linaweza hata kuendesha serikali, kwa maana ya serikali kuwa ni ya watu ndo pekee lingeweza kutumikia wananchi coz lipo mpaka madongo kuinama ambako serikali haipo.
Big up my church

(1) RC ndiyo Kanisa pekee la ukweli duniani!!?? Umedanganywa! Kanisa la ukweli, kulingana na Biblia, ni lenye watu waliookolewa (walokole) - Angalia MATENDO 2:42. Kanisa lolote lisilo la walokole, linampinga Yesu ambaye ndiye Kweli (YOHANA 14:6), kwa kuwa Jina "Yesu", maana yake, "Yeye ATAKAYEWAOKOA watu wake na dhambi zao" (MATHAYO 1:21).

(2) Kusema kwamba RC haichanganyi dini na siasa, hizo ni SIASA NYEPESI za kudanganya wajinga! Je, unajua kwamba, Papa ndiye "Rais" wa nchi ya Vatican City (The Pope, is also the head of state of Vatican City, a sovereign city-state). Vilevile, Mabalozi wengi wa nchi ya Vatican City, katika nchi mbalimbali, kama Tanzania; ni Maaskofu. Huku, siyo kuchanganya dini na siasa?
 
Kanisa la ukweli hapa duniani ni RC tu haya mengine ni waganga njaa tu, kwa sheria za rc hairuhusiwi kuchanganya siasa na dini. Kama ni padre haruhusiwi kutumikia siasa, ile kauli ya " ya Mungu mpe Mungu na ya kaisari mpe kaiser inafatwa kabisa kikamilifu"
hawa wengine wanatumikia mali familia na siasa na ndo maana makanisa yao hayaendelei, ona kanisa katoliki linvyoshamiri, linaweza hata kuendesha serikali, kwa maana ya serikali kuwa ni ya watu ndo pekee lingeweza kutumikia wananchi coz lipo mpaka madongo kuinama ambako serikali haipo.
Big up my church

umenigusa khaaa!!
 
Back
Top Bottom