Askofu atabiri Tanzania kupigwa na Rwanda!

Status
Not open for further replies.

mpinga shetani

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
3,236
954
Askofu Emmanuel Lazaro wa T.A.G anayehutubia mkutano mkubwa mjini Arusha amebashiri kuwa nchi moja ya jirani itaivamia na kuitwanga Tanzania. Askofu huyo akaitaja kabisa Rwanda na kudai kuwa TZ haitaiweza Rwanda!

2.jpg
 
Mbona hiyo aliitabiri since may mwaka jana,alisema kuwa kuna nchi jirani na tanzania inajipanga bila sisi kujua na akaona mapambano baina ya wanajeshi wa nchi yetu na wa hiyo nchi ila aliona wanajeshi wa nchi yetu ya Tz wakirudishwa nyuma kwa kuzidiwa .na alichosema mshindi wa hiyo vita ni yule atakayekuwa na maombi,akasema tuiombee nchi yetu.hakutaja jina la nchi kwa sababu wakati anatoa unabii hata mgogoro wa malawi ulikuwa haujapamba moto
 
Huyu ni askofu wa faida hana polite,mtu anaeona matukio ya msuguano na kujifanya ameoteshwa,hovyo kabisa huyu
 
Askofu Emmanuel Lazaro wa T.A.G anayehutubia mkutano mkubwa mjini Arusha amebashiri kuwa nchi moja ya jirani itaivamia na kuitwanga Tanzania. Askofu huyo akaitaja kabisa Rwanda na kudai kuwa TZ haitaiweza Rwanda!

Katumwa huyooo.
 
Mpuuuuuzi Huyo mchungaji...
Ndio walewale kina mzee wa upako waliotabiri odinga anashinda
 
Hawa ndio walewale wa kikombe cha babu loliondo hawana lolote zaidi ya kuuza madawa ya kulevya hawana wakijuwacho
 
Mbona hiyo aliitabiri since may mwaka jana,alisema kuwa kuna nchi jirani na tanzania inajipanga bila sisi kujua na akaona mapambano baina ya wanajeshi wa nchi yetu na wa hiyo nchi ila aliona wanajeshi wa nchi yetu ya Tz wakirudishwa nyuma kwa kuzidiwa .na alichosema mshindi wa hiyo vita ni yule atakayekuwa na maombi,akasema tuiombee nchi yetu.hakutaja jina la nchi kwa sababu wakati anatoa unabii hata mgogoro wa malawi ulikuwa haujapamba moto
Sasa hapo maombi ya nini wakati ameshasema majeshi yetu yanarudi nyuma kwa kuzidiwa? Vipi hakusema itakuwa lini au itakuwa ghafla
 
Utabiri utumbo tu huo. "Mwisho wa dunia ukikaribia watatokea manabii wa uongo nao watadanganya wengi"

-Wameshatokea wengi,
-Na wengi mnadanganyika.
 
Safi sana mtumishi wa mungu. Watanzania mnabakia oooooh tuna jeshi oooooh nchi yetu kubwa ooooooh tuna silaha: Haya ni maneno ya mfa maji. Vietnam ni nchi ndogo sana lakini kila mtu anajua nini kilimpata marekani.
 
Askofu Emmanuel Lazaro wa T.A.G anayehutubia mkutano mkubwa mjini Arusha amebashiri kuwa nchi moja ya jirani itaivamia na kuitwanga Tanzania. Askofu huyo akaitaja kabisa Rwanda na kudai kuwa TZ haitaiweza Rwanda!
Kwahiyo anatupa ushauri gani, wakati tunasubiri hicho kipigo..!!??
 
Safi sana mtumishi wa mungu. Watanzania mnabakia oooooh tuna jeshi oooooh nchi yetu kubwa ooooooh tuna silaha: Haya ni maneno ya mfa maji. Vietnam ni nchi ndogo sana lakini kila mtu anajua nini kilimpata marekani.
Sasa wewe unafurahia kupigwa? au unamaanisha nini,
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom