Nipe mfano wa yupi anayefaa mimi binafsi naamini mapadre wa jimbo la Musoma hakuna anayefaa kuwa askofu. Na hii inatokana na jinsi nilivyokaa nao na kuwasoma mimi binafsi.Ninamkumbuka ArchBishop Mayala kwa suala moja tu. Kuwadharau mapadre wazawa wa Jimbo la Musoma. Hadi leo hakuna Padre MZALIWA wa Jimbo la Musoma amekuwa ASKOFU. Kwa nini?
Ungekaa pia na Samba, Balina mwenyewe alipokuwa Rector wa Makoko ungempa huo Uaskofu? Tuyaache hayo. Mapadre wa Mwanza, Morogoro, Moshi, Rulenge, ....ukiwachunguza hautapata Askofu.Nipe mfano wa yupi anayefaa mimi binafsi naamini mapadre wa jimbo la Musoma hakuna anayefaa kuwa askofu. Na hii inatokana na jinsi nilivyokaa nao na kuwasoma mimi binafsi.
Ungekaa pia na Samba, Balina mwenyewe alipokuwa Rector wa Makoko ungempa huo Uaskofu? Tuyaache hayo. Mapadre wa Mwanza, Morogoro, Moshi, Rulenge, ....ukiwachunguza hautapata Askofu.
Kuna kila dalili kwamba Balina atakuwa ArchBishop wa Mwanza. Samba amelivuruga sana Jimbo lile. Acha tu naye apumzike kwa AMANI. Huyu wa sasa simfahamu. Kilio changu ni kwamba imefika wakati sasa Jimbo la Musoma litoe ASKOFU. Fikiria tangu enzi ya Askofu Rudin hadi leo tumepata mapadre wangapi!Wild Card nilikuwa Makoko wakati wa Balina .Mayala na maaskofu ambao si wazawa iliuwa ni weakness yake kubwa lakini pia this man aliwatunza vyema mapadre wake .Sijapata kusikia lawama nyingi kama zile za Samba Musoma .Majuzo nimemsikia hata Balina alikwua Ujerumani anatafuta kusaida jimbo lake na nadhani bado ni mtumishi mwaminifu .Nakumbuka baada ya Balina kuwa Askofu alirudi Makoko Seminary kusema ibada pale ya shukrani .Guess what ? Wale wote tulio kuwepo pale watasema , Kanisa la Seminary kama walijua lilitikisika nakila mmoja nywele zilimsimama kichwani.Nadhani Balina ana kitu tofauti sana .Sijui siku hizi kama kabadilika .
Mayala apumzike , na jimbo katoliki Musoma naamini baada ya Msonganzila basi hawatahitaji lolote nje ya pale .Wako ma padre wana uwezo sana ila sasa tabia na misimamo .Samba alileta shida sana Musoma lakini Mungu anajua .
Mayala tumuombee bwana hakuna mkamilifu .