Askofu anamiliki HAMMER ya 250million!

Status
Not open for further replies.
Maandiko yanasema hivi"Siku za mwisho watakuja watu wengi kwa mfano wangu",angalia siku hizi watu walivyo Wazambi,yaliyokuwa yanafanyika Sodoma sasa hivi imekuwa fashion.So wanadungu tuanze kumrudia Bwana tuko kwenye siku za pembezoni!!!
 
Tunakujua wewe ni padri, kwahiyo hatushangai haya maneno yako.

Sijui munapata wapi Maandiko yanayosema Watumishi wa Mungu wanatakiwa kuwa Maskini. Sijaona andiko lolote linalosema watumishi wa Mungu wanatakiwa kuwa fukara hohe hahe.

As you are swallowing this fact please read the word of Jesus.

Passage Matthew 19:29:
29 And everyone who has given up houses or brothers or sisters or father or mother or children or property, for my sake, will receive a hundred times as much in return (in this life) and will inherit eternal life

Mungu anasema ukifanya kazi yake atakuheshimu. Utakuaje Masikini wakati kama Mungu anakuheshimu?
Huu ni uongo wa shetani kwamba watumishi wa Mungu wanatakiwa kuwa Maskini.
Watumishi wa Mungu wanatakiwa kuwa matajiri, wanatakiwa kumiliki magari majumba na hata ndege kwa kadri Mungu anavyowabariki.

Kama na wewe una wito wa Kazi ya Mungu karibu shambani mwa Bwana mavuno ni mengi ila watenda kazi ni wachache
.
 
Sijui munapata wapi Maandiko yanayosema Watumishi wa Mungu wanatakiwa kuwa Maskini. Sijaona andiko lolote linalosema watumishi wa Mungu wanatakiwa kuwa fukara hohe hahe.

As you are swallowing this fact please read the word of Jesus.

Passage Matthew 19:29:
29 And everyone who has given up houses or brothers or sisters or father or mother or children or property, for my sake, will receive a hundred times as much in return (in this life) and will inherit eternal life

Mungu anasema ukifanya kazi yake atakuheshimu. Utakuaje Masikini wakati kama Mungu anakuheshimu?
Huu ni uongo wa shetani kwamba watumishi wa Mungu wanatakiwa kuwa Maskini.
Watumishi wa Mungu wanatakiwa kuwa matajiri, wanatakiwa kumiliki magari majumba na hata ndege kwa kadri Mungu anavyowabariki.

Kama na wewe una wito wa Kazi ya Mungu karibu shambani mwa Bwana mavuno ni mengi ila watenda kazi ni wachache.

Sawa, Mkuu. lakini hakuna anayesema kuwa Mtumishi wa Mungu awe masikini. Tunachosema ni kuwa ni vizuri Mtumishi wa Mungu akawa na Kiasi, hata Mungu mwenyewe ameyasema haya. Kuwa na Kiasi.

Ni Mungu huyu huyu pia aliyesema kawagaie masikini vyote ulivyo navyo, kisha unifuate.

ni Mungu huyu huyu anayesema kuwa ni rahisi kwa Ngamia kupita katika tundu la Sindano kuliko tajiri kuingia Ufalme wa Mungu.
Ni Mungu huyu huyu alieyesema kuwa hamuwezi kutumikia Mabwana wawili. Mungu na Mali.

Ni Mungu huyu huyu ambaye Mwna wake wa Pekee alipokuwa anatafuta wanafunzi wa kumsaidia kueneza neno la Ufalme wa Mungu alichagua watu wa chini kabisa, Wavuvi, Seremala nk. Hakuchagua tajiri miongoni mwa wanafunzi wake. Kuna somo kubwa hapo ambalo Wahubiri wetu wa kileo hawalioni.

Hatusemi Watumisghi wa Mungu wasiwe na Uwezo la hasha. Tunachosisitiza ni kuwa na kiasi, neno ambalo hata Mungu mwenyewe ametuasa nalo.

kama jamii nzima inakubaliana kwamba gari la aina ya Hummer ni gari la kifahari, pamoja na mwenzetu kusema ni trekta la kazi, kwa nini mtumishi wetu wa Mungu asiamue kununua Landrover, Toyota Surf na kadhalika??

Anapanda Hummer la mamilioni anakwenda kuhubiri injili wapi, for Heaven's sake??

After all, si hata Mwana wa Mungu kuna mahali amesema kuwa mnapoenda kuhubiri neno lake msibebe zaidi ya nguo na makubazi mliyovaa bila shaka akiwa na maana ya kuwa na kiasi katika mahitaji yenu? haya ya kwenda kuhubiri na Hummer yameanzia wapi??

Nimalizie tu kwa kusema kuwa kama ni vifungu, basi kila mmoja anaweza kutafsiri kifungu cha Biblia kwa jinsi anavyokiona yeye na ndio maana traditional churches zetu zimekuwa zikiparaganyika na kuanzishwa makanisa binafsi chungu nzima ambayo watumishi wa Mungu wanaoyamiliki wanaweza hata kukusomea vifungu vinavyowaruhusu kuwa na Hummer!

Indeed, Come to think of it, wanaweza hata wakakutafutia neno wakakuambia lina maana ya kuwa na Hummer ilimradi tu wahalalishe wao kumiliki Hummer na kuwa matajiri wa mali. hamuwezi kutumikia Mungu na Mali! hayo ni maneno ya Yesu sio ya Kwangu!!!
 
Hakuna gari inaitwa Hammer, lakini kuna gari inaitwa HUMMER.

Na kuna HUMMER H2,H3, na H5.
Bei za hizi haziko katika luxurious bracket, hizi ni trekta, gari za kazi.
Hivyo si kweli kuwa gari hizo utazipata kwa Millioni 250 huo ni uongo!!
Nimeweka CURRENT prices za gari hizo for your fair decision on the thread!!

H3

THE MIDSIZE SUV.
The HUMMER H3 is proof positive that good things can come in small packages. Even if you are a HUMMER. Of course, to belong to the HUMMER SUV family, you not only have to look the part, you also have to live up to the off-road 4x4 reputation that the family made famous. We're proud to say that the H3 does. Fully capable off-road. Totally comfortable on it. HUMMER 100,000-mile/5-year transferable Powertrain Limited Warranty.† OnStar‡ with 1-year Safe and Sound Plan. All standard. STARTING AT $34,135.
MI_08_Hummer_H3_Ext_3-4_Driver_Side_Front_GC01_2.jpg

H2 SUT

THE H2 SPORT UTILITY TRUCK. Half pickup, half SUV, the SUT’s bold looks, luxurious interior, and unparalleled off-road performance make it 100% HUMMER. With a host of standard features and a durable 72-inch bed, when the midgate is folded down, the SUT is as versatile as it is striking. STARTING AT $62,260*
MI_08_Hummer_H2_SUT_Ext_Overhead_Rear_GC01.jpg

Haya magari heri ununue Landcruiser VX, na spea zake utapata.
Hivyo basi aidha habari hii si kweli au huyo mtu wa Mungu katapeliwa!!!!

nilitaka kuuliza hio hummer ya $200,000 imewekwa(pimped)nini?mwandishi atupe evidence za hii story kabla ya kuchangia
 
True!!!!
Ajabu iko wapi wewe?

Nenda uwaone waumini wa mtu huyu, ni watu wenye pesa zao na wanaheshimika mno katika jamii, si wale mazuzu ambao utasema labda wanadanganywa..Ni watu wenye uelewa kuliko wewe!

Nani aliyewaambia kwa Mungu wetu kuna umasikini?

Hakuna definition ya umasikini zaidi ya MENDE NA PANYA, mnataka watu wanaomtumikia Mungu aliye hai waishi na funza na Panya ndo muone wanaongea ukweli?

Acheni fikra mbofumbofu bana, mi naona sawa, ili mradi hakuna malalamiko kanisani kwake,,who are we to judge?
 
ndiyo maana makanisa mengi yanapatikana mijini na sio kule kwenye kilimo kwanza
 
lol.....Cha ajabu nini askofu kumiliki hammer!!! Mtumishi wa Mungu anakula madhabahuni kwake.
 
Ajabu iko wapi wewe?

Nenda uwaone waumini wa mtu huyu, ni watu wenye pesa zao na wanaheshimika mno katika jamii, si wale mazuzu ambao utasema labda wanadanganywa..Ni watu wenye uelewa kuliko wewe!

Acheni fikra mbofumbofu bana, mi naona sawa, ili mradi hakuna malalamiko kanisani kwake,,who are we to judge?

...kabla ya kununua hama ...angejenga kwanza lile banda analoita kanisa ambalo kila siku linahatarisha maisha ya watu wanaoweza kuangukiwa nalo,KUENEZA INJILI SEHEMU HADI ZILE DUNI..[sio mnakazania kueneza injili kwa wenye kipato tu]...,alafu akajenga shule ,hospitali ,kusaidia yatima na wahitaji ...kama neno la mungu linavosema...nilikuwa na njaa ukanilisha ,na kiu....pesa zikibaki ndio anunue HAMMER.....
 
pambavu
hivi wewe ulieleta mada umeona wapi amefanya kosa;umechangia kulipia kodi pale TRA
TOUCH NOT MY ANNOINTING ZABURI 105:15
HIVI WEWE ULISHAZOE KUHUBIRIWA UTAJIRI NA WACHUNGAJI MASKINI NYIE MNATARAJIWA NINI;ULITAKA MCHUNGAJI AVAE KANDAMBILI AKUOMBEE GARI
WAPI UMEONA UKIHUBIRIWA NA WA KANDAMBILI UTAPATA KANDAMBILI;UKIHUBIRIWA NA WENYE HAMMER UNAPATA IMPERTATION YA HAMMER NDUGU;NDIO MAANA NILIWEKA MADA MOJA TUNAHITAJI KUWEPO KWENYE MADHABAHAU SAHIHI;USIWE KWENYE MAKANISA ILI MRADI MAMAKO BABAKO ALIBATIZWA HAPO;UTABEBA LAAANZA ZA BABAKO NA MAMAKO N A KUWEKEWA MIKONO NA WACHUNGAJI WOTE AITOKI
MIMI NAKUSHAURI HUYO ALIEKWAMBIA MARUFUKU KUTEMBELEA HAMMER MTU WA MUNGU AMEKUKOSANISHA NA MUNGU;NENDA PALE KANISANI UBUNGO KWA GWAJIMA UKATUBU DHAMBI ZAKO;LABDA NIKUELEZE BIBILIA INASEMA TUSHIKE UPINDE WA VAZI LA MANABII;SASA WEWE UMEKAMATA VAZI LA MTU HANA NYUMBA AMEKAA NYUMBA YA KUPANGA ANAKUOMBEA UPATE GOROFA HIYO IMANI DHAIFU;SO LABDA NIKUELEZE MI NIMESALI MARA MOJA PALE;HAKIKA WATU WANATOA PESA WENYEWE KWA KUYAJUA MAANDIKO

NENDA KASOME MALAKI 3:6-14 UITAJI KWENDA KWA SHEIKH YAHAYA HUSSEIN UKAWA TAJIRI LIJUE NENO UTAPATA UTAJIRI NDUGU

NAKUTAKIA TOBA NJEMA
 
Kwa kuongezea hapo hapo!

Je waumini wake wameishiwa kwa sababu ya kumtolea MUNGU? Kama una uhakika na hilo, unaweza kulalamika.. Lakini Nina uhakika hakuna mtu aliyewahi kumtolea MUNGU kwa moyo wa ukunjufu akaishiwa. Na ndio matunda ya viongozi..

Je hao viongozi wengine wa duniani wana mali kiasi gani ambazo wewe mwenyewe umeibiwa either kodi yako au nyara au madini nk na wameficha nchi zingine hujawaona mpaka unamsakama huyo Mtumishi wa MUNGU?
 
Tatizo lako pretty ni dogo
uroman/ulutheran/
hili ni tatizo kubwa sana na ndilo lililofanya wajanja wakakimbia na kuhamia kwenye madhabahu zilizo sahihi;najua si tatizo lako
tatizo la kuwafwata wazazi wetu bila kujua kila mtu atajibu kwa mema yake na mabaya yake;babako mamako hatojibu dhambi zako siku ya mwisho;achana na dini ya baba dini ya mama fwata sehemu utakapoponya roho yako na siku ya mwisho kuwepo kwenye ufalme wa mungu;najua unaitaji ufahamu zaidi kuelewa hili ila ni nafsi yako inaitaji kukubali kurekebishwa kuondoa laana za mabab/mababu zetu baada ya hapo unasafishwa;unachgotakiwa kufanya nenda sehemu ambayo utapenya utaokoa roho yako sikwambii uende wapi ila nimefua=rahi kati ya hao ni hayo uliyoandika;usione aibu mwombe mungu akusamehe ;utoke kwenye dini za wazazi;
ibrahim alitoka kwa babale tera ndipo alipofanikiwa usiogope kutoka dini ya babako;nakutakia maisha mema natumaini kuleta mada hapa mungu ana makusudi ya kuokoa roho zako
swala la hammer usiogope kwa ushauri usikae kwenye m,akanisa ya wachungaji wanaozoe kuomba pesa;nenda kanisa ambalo mchungaji/askofu anafundisha neno la mungu kwa akili yako na ufahamu wako bila kusukumwa na baba wala mama yako unaingia mfukoni na kumtolea mungu hiyo ndio neema tuliyo nayo;zamani tulikuwa makanisa hayo hayo tunatoa pesa kwa kulazimishwa mara makadi kibao ya nini ujenzi;jengo bila kujua ujenzi ni huo huo unajenga majengo;soma neno la mungu ndilo uzima

yohana 6:63

neno ni roho tena ni uzima

yer 1:12

nalisikiliza neno nipate kulitimiza

huyu bwana amekuwa na imani ya ajabu na ndio maana kanisani kwake akuna wajinga wanaaooomba nauli baada ya ibada kama wapo njo nikupe hammer na wewe;ukiwa na imani ukilijua neno ukaacha dhambi mungu akuwachi fwata mungu anayoitaji utaona mwenyewe;we uzinzi wewe tamaa wewe ulevi wewe shida za ndoa kwa nini umaskini usikujie na kizazi chako;tuache dhambi hammer zipo jamani zipo nasema;mi nimwona mungu wa isaka yakobo na ibrahimu na gwajima;nilikuwa pale nikaomba kwa imani gari
 
LUK 11:24

LOLOTE MWOMBALO AMININI MMEPATA
HILO NDILO NENO NILILOSIMAMA NALO LEO HII NIKO KWENYE KIPUPWE NDUGU LABDA NI VYEMA NIKUPE KAHUSHUHUDA
NILIPODSIKIA BABA ANAONGEA HILO SOMO LA IMANI NIKAENDA KWENYE NET NIKAPRINT GARI ZOTE ZA PRIMIO NILIZOZIONA NIKA FILE KWENYE FILE
NIKAWA NAOMBA NAMWAMBIA MUNGU GUSA BWANA NAITAJI GARI WE UNAJUA PESA NITAKAPO PATA...SINA HATA SENTI AIKUCHUKUA MWEZI MUNGU AKAMTUMIA DIRECTOR WA OFISINI JAMANI MWENYE UWEZO WA KUKOPA GARI RUKSA;ONA;MWEZI NAKOPA NDIO HUO NAMALIZA DENI LANGU WENGINE WAKASHINDWA SABABU YA DENI;;WEEEEEEE USIMGUSE MUNGU KAKA;NIKACHUKUA MATRIX NAKUPELEKA BANK SIKU TATU NINA GARI SASA SI WA KAWAIDA TUNAKAMATA GARI KWA SIKU TATU KWA NINI ALIE JUU YETU ASIENDESHE PRIMIO;KWA KUKUSAIDIA UKITAKA KUFANIKIWA OMBEA MUNGU WALIOFANIKIWA UFANIKIWE KAMA WAO UKIWAONEA WIVU UTABAKI HAPO HAPO NA KUISHIA KUTANGA TANGA MAKANISA NA KUDAI MUNGU AKUONI
AKUONI WAPI TOA ROHO YA UCHUNGU YA WIVU UFUNGUKE
Kama uamini simamia maandiko uone

HESABU 14: 28

KADRI USEMAVYO CHOCHOTE NDIVYO NTAKAVYOFANYA

MITHALI 23:7

AJIONAVYO MTU NDIVYO ALIVYO UKIJONA MASIKINI HATA AJE NYERERE UTOTOKA UTABAKI HIVYO HIVYO;SO TOA MATAMSHI MUNGU ANAITAJI IMANI NA KUTOA MATAMSHI UNATAKA NINI;MUNGU AJUI UNACHOTAKA SO WEWE KUMWAMBIA MUNGU HAPA VIPI NYUMBA YA KUPANGA NOMA NIMECHOKA NAITAJI YANGU PESA ZA UJENZI CEMENT UTASHANGAA ZINATOKEA WAPI

ENDELEA KUWA NA IMANI UTAPENYA
MUNGU AKAKUBARIKI
 
Hatusemi Watumisghi wa Mungu wasiwe na Uwezo la hasha. Tunachosisitiza ni kuwa na kiasi, neno ambalo hata Mungu mwenyewe ametuasa nalo.
Asante kwa maelezo yako Mkuu,

Ukweli ni kwamba tukianza kusema watumishi wa Mungu wasinunue Hummer hatutaishia hapo tu, tutaanza kuhoji hata akipeleka watoto wake International School, hata akivaa vizuri na mambo chungu nzima.

Kuwa na kiasi hakumaanishi kuwa msikini, na Yesu hakusema kwamba tajiri hawezi kuingia mbinguni, alichosema ni kwamba huwezi kutumikia mabwana wawili, Yaani Utajiri na Mungu. Kama mtu unamtumikia Mungu halafu utajiri ukaja kupitia huduma kuna ubaya gani?
 
jamani cha ajabu nn watumishi wa mungu kumiliki mali au kuishi maisha ya raha au kwa vile watanzania walishazoea maisha mazuri na yakifahari ya mafisadi tuu mimi binafsi nashangaa kwa nn awamiliki ndege binafsi watumishi wa mungu tanzania
 
LUK 11:24

LOLOTE MWOMBALO AMININI MMEPATA
HILO NDILO NENO NILILOSIMAMA NALO LEO HII NIKO KWENYE KIPUPWE NDUGU LABDA NI VYEMA NIKUPE KAHUSHUHUDA
NILIPODSIKIA BABA ANAONGEA HILO SOMO LA IMANI NIKAENDA KWENYE NET NIKAPRINT GARI ZOTE ZA PRIMIO NILIZOZIONA NIKA FILE KWENYE FILE
NIKAWA NAOMBA NAMWAMBIA MUNGU GUSA BWANA NAITAJI GARI WE UNAJUA PESA NITAKAPO PATA...SINA HATA SENTI AIKUCHUKUA MWEZI MUNGU AKAMTUMIA DIRECTOR WA OFISINI JAMANI MWENYE UWEZO WA KUKOPA GARI RUKSA;ONA;MWEZI NAKOPA NDIO HUO NAMALIZA DENI LANGU WENGINE WAKASHINDWA SABABU YA DENI;;WEEEEEEE USIMGUSE MUNGU KAKA;NIKACHUKUA MATRIX NAKUPELEKA BANK SIKU TATU NINA GARI SASA SI WA KAWAIDA TUNAKAMATA GARI KWA SIKU TATU KWA NINI ALIE JUU YETU ASIENDESHE PRIMIO;KWA KUKUSAIDIA UKITAKA KUFANIKIWA OMBEA MUNGU WALIOFANIKIWA UFANIKIWE KAMA WAO UKIWAONEA WIVU UTABAKI HAPO HAPO NA KUISHIA KUTANGA TANGA MAKANISA NA KUDAI MUNGU AKUONI
AKUONI WAPI TOA ROHO YA UCHUNGU YA WIVU UFUNGUKE
Kama uamini simamia maandiko uone

HESABU 14: 28

KADRI USEMAVYO CHOCHOTE NDIVYO NTAKAVYOFANYA

MITHALI 23:7

AJIONAVYO MTU NDIVYO ALIVYO UKIJONA MASIKINI HATA AJE NYERERE UTOTOKA UTABAKI HIVYO HIVYO;SO TOA MATAMSHI MUNGU ANAITAJI IMANI NA KUTOA MATAMSHI UNATAKA NINI;MUNGU AJUI UNACHOTAKA SO WEWE KUMWAMBIA MUNGU HAPA VIPI NYUMBA YA KUPANGA NOMA NIMECHOKA NAITAJI YANGU PESA ZA UJENZI CEMENT UTASHANGAA ZINATOKEA WAPI

ENDELEA KUWA NA IMANI UTAPENYA
MUNGU AKAKUBARIKI

nahukumbatia ushuhuda wako kwa jina la yesu soon i will nitashuhuda ushuda wangu wa gari jipya mwaka huu
 
Ndugu kwa hiyo wewe unataka kuwaambia watanzania wote wasio na Magari waende kwa huyu jamaa atawaombe kupata Magari?!

imani y amtu ni kitu complex lakini inapofikia mtumishi wa mungu anaona kipimo cha ubora wake ni kumiliki Gari Kubwa la kijeshi(linaloharibu mazingira-hence destroy earth),hapo kuna Tatizo.

i wouldn't think less of the mtumnishi wa mungu hata kama angekuwa anaendesha Pirus.Ila nadhani kama yeye anafikiria kumiliki gari kubwa na lenye thamani kubwa ni kipimo cha mafanikio ya utumishi wake.basi hapo kuna Tatizo.kubwa tuu!
 
Haya makanisa tunayoyaona yanaibuka kama uyoga, mengine ni ya kuyaangalia kwa makini. Yanaongozwa na matapeli wanaovuna kwa watu masikini wenye shida na kiu ya msaada wa mungu. Tatizo ni kutojua mungu wanayemtafuta anapatikana wapi haswa!Wajanja wamejua hilo ndio wanapoponea
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom