asking for help

ndupa

JF-Expert Member
Jan 25, 2008
4,403
141
naombeni msaada wenu jana saa 4 usiku kabla sijalala kwenye akaunti yangu ya tcu kulikuwa na cheking in progress 5 na eligible 3 lkn leo asubuhi zote zimekuwa not eligible ambazo ni 8 nisaidien nifanyaje?
 
Nakushauri usifanye mabadiliko yoyote,kama zilishakuwa eligible zitakuwa tena,ukijaribu kubadili ndo utaaribu kabisa. Fanya mpango wa kuwasiliana na TCU.
 
Jamani hata mdogo wangu kachanganyikiwa kwani yaliyomkuta ni kama yako.Ili bidi afute zote apply upya ndo check in ptogress mpaka sasa
 
naombeni msaada wenu jana saa 4 usiku kabla sijalala kwenye akaunti yangu ya tcu kulikuwa na cheking in progress 5 na eligible 3 lkn leo asubuhi zote zimekuwa not eligible ambazo ni 8 nisaidien nifanyaje?

Tafuta No zao uwapigie simu kabla ya trh 03/07
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom