Askari watuliza ghasia za wananchi katika msafara wa Raisi

ki ukweli Mirindimo habari yako wengi hatukuielewa hasa wale wenye aleji na taarifa za Tbc 1, ungetuambia kuwa ikulu inametengua ukweli kuwa uongo. Asante Radhia umemsaidia mtoa mada kidogo kueleweka.
 
View attachment 57804Askari polisi wa kikosi cha kutuliza ghasia maarufu FFU, wakidhibiti eneo la Tegeta jijini Dar es Salaam leo baada ya wananchi wenye hasira kurushia mawe masafara wa Rais Kikwete. PICHA;ROMIMsafara wa Rais Jakaya Kikwete leo umepigwa mawe na wananchi wenye hasira eneo la Tegeta Namanag jijini Dar es Salaam.Polisi mkoa wa kipolisi Kinondoni imekiri kupigwa mawe kwa msafara wa Rais Kikwete wakati msafara huo ukielekea Bagamoyo kutoka jijini Dar es Salaam.Kamanda wa Mkoa wa Kinondoni Charles Kenyela amesema kuwa anashikilia baadhi ya wananchi waliodaiwa kurushia mawe msafara wa Rais Kikwete.Kenyela amedai kuwa wananchi hao walipatwa na hasira baada ya kubomolewa nyumba zao kiholea na tajiri mmoja jijini anayedaiwa kubomoa nyumba hizo ili aweze kujenga kituo cha mafuta eneo hilo.SOURCE :Taarifa ya Habari ya TBC1 saa mbili usiku, tarehe 30/June/2012 ,IKULU imetoa taarifa kukanusha kua msafara wa Rais haukupigwa mawe na haukusimama popote zaidi ya kusimama kwa Mh. Wasira.
Ah, nilidhani wamekanusha kuhusu habari ya bendera yetu kupepea kwenye meli za Irani!
 
Back
Top Bottom