Ni Watanzania pekee coz' tukio limetokea eneo ambalo ni Watanzania ndio wana-take control unless kama unaamanisha ni kwanini hawaku-fight back na wao kuua!Nimeona kwenye cnn,wameuwawa 7,nashangaa kwanini wote ni watanzania.Wanasema ilkuwa ambush na ni kwa mara ya kwanza kwa peace keepers kuuwawa wengi kwa mkupuo mmoja ama shambulizi moja.Inadaiwa kuwa walikuwa outnumbered.