Mathenge
JF-Expert Member
- Jan 25, 2013
- 799
- 455
let them die... That is their job..
Bro! Vmark hata ka ni kazi yao na jukumu lao,lakini inapotokea wenzetu wamepatwa na mauti ,Kumbuka wanafamilia zao,wengine walikuwa wanategemewa na Wazazi wao,ndg nk,pia walizaliwa kama wewe,uchungu ambao angeupata mzazi wako ama wangu hauna tofauti na hao Sojaz wetu!Elewa kuwa wale Waasi waliomba Tanzania ipeleke wanajeshi wake kwani walikuwa na imani nao kubwa,na ndio maana idadi ya askari wetu kule ni kubwa kuliko nchi nyingine za Afrika jua hilo nalo natumain ulikuwa hujui hilo bro.Chamsingi tuwafariji ndg waliopotelewa na wapendwa wao,R.I.P SOJAZ