Askari wa Polisi na JKT watwangana Tabora

Hizi ni habari za kusikitisha sana kawa nchi ya Amani kama Tz, hebu mwenye habari kamili kuhusu tukio lote atujuze ili tupate taarifa kamili jamni.
 
Nasikia pia kuna uhaba wa mafuta huko. Walioko huko tujuzeni.
Uhaba wa mafuta upo kama ulivyotaarifiwa, kwani nilishangaa aliyekuja kunipokea hakuja na gari lake nilipomuuliza akaniambia amelipaki kwa kukosa mafuta, nikadhani annifanyia masikhara ndipo tukachukua Tax akanizungusha katika vituo kadhaa vya hapa mjini ambako sikukuta huduma hiyo ikitolea ndipo nilipoamini...
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Ni kweli mapambano yalikuwepo ila muda huu1845hrs hali iko shwari. Ila kuna watu wengi wamekusanyika nje ya kituo cha polisi, lakini sjui kinachoendelea.

Kuhusu mafuta (Petroli) kuna uhaba mkubwa! Hali hii ilikuwepo J3 na J4 wiki hii na imejirudia tena leo!
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Ilikuwa ni kati ya vijana wa jesh la jkt na raia,
mjesh alileta ubabe dukan baada ya kugomewa
kupunguzia bei ya nguo matokeo yake
wakamuitia mwiz wakampga, ndio taarifa
zikawafkia wenzao km 100 walikuja mjin na basi
lao kufanya shoping, kipigo kikaanza kwa raia na hatmae jkt kumnyang'ang'a polic bunduk kuanza
kurushia raia, kukawa hapatoshi mabomu ya
machoz na risasi za moto walipofka ffu , but
ilidumu km masaa mawili ikawa km vitan
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Nawaombea waendelee kupigana hadi wauane. Wasipigane tu bila vifo kutokea. Wahakikishe vifo vinatokea. Nipo upande wa JKT. Siwapendi police.
 
Nawapongeza sana Police kwani katika tukio hili walitumia busara sana ikiwemo kuutarifu uongozi wa kambi.
Hata namna walivyokuwa wakiwajibika kama wangekuwa hivi jeshi lote la Polisi hakika lingekuwa la mfano.
 
Je, kuna watu walioumia katika vurugu hizo?Mlioko uko mtujuze tafadhali.
 
Nawapongeza sana Police kwani katika tukio hili walitumia busara sana ikiwemo kuutarifu uongozi wa kambi.
Hata namna walivyokuwa wakiwajibika kama wangekuwa hivi jeshi lote la Polisi hakika lingekuwa la mfano.
Mkuu hapa mi naona busara imekuja kwa sababu issue yenyewe imehusisha Units Mbili ambao ni majeshi, unadhani kama upande wa pili wangekuepo raia busara hii ya polisi ingekuepo? hatuna poisi halisi bali tuna polisisiasa
 
Habari ambazo zimepatikana muda huu toka Tabora zinasema kumetokea fujo kubwa baada ya wanajeshi wa JKT kuleta fujo baada ya kutaka kupunguziwa bidhaa walipofika katika duka moja mitaa ya sokoni.Muuza duka huyo alipokataa ndipo walipoanza fujo na kurusha risasi na taarifa za awali zinasema mtu mmoja amekufa kutokana na majeruhi ya risasi!

Source: wakazi wa Tabora
 
Mafuta ni adimu mkoani tabora.lita moja walanguzi wanaiuza 4000.LEO ilikuwa patashika nguo kuchanika.Kuna watoto wa JKT walikuwa wanafanya manunuzi kwa wauza mitumba,pale sokon.Wakawa wanataka wauziwe kwa bei ya jeshi(karibu na bure)Mwenye mali akagoma.Ndo wakataka kutumia nguvu,polisi wale wa voda fasta wakatokea wakala kichapo kisha wakawasiliana na makao makuu ndo kikashuka kikosi cha polisi na kuanza kupambana na JKT kwa majibizano ya mabomu risasi na mawe.risasi nying zilikuwa zinapigwa juu.Watu wengi wasio na hatia wameumia sana.Mmoja ni mwanakijiji ambaye nilimuhoji na kuniambia alikuwa anatoka sokoni akakutana na polisi na kumpasua mguu kwa virungu.Nimemuonea huruma sana.NASHUKURU JWTZ WAMESHIRIKI VIZURI KUWAZIBITI Vijana toka JKT.nitazid kumwaga habar every time.
Sasa ni shwari.
 
Back
Top Bottom