Askari wa mgodi wa dhahabu wa geita apiga risasi na kuua mwananchi.

Mbuki Feleshi

Senior Member
Jan 24, 2011
155
29
Hii imetokea alfajiri ya leo ambapo askari wa mgodi wa dhahabu wa Geita aliyekuwa katika lindo
maeneo ya pit ya zaman iliyofungwa ya Lonkoni, aliwashambulia kwa risasi wananchi waliokuwa wameingia
maeneo ya mgodi bila ruhusa (maarufu kama watu wa "magwangara" yaani watu wanaoingia maeneo
ya mgodi ili kuokota mawe yasiyohitajika yaliyotupwa ambapo huyaprocess na kupata chochote).
Kwa mujibu wa maelezo ya masecurity hao wanadai watu hao walitumia nguvu kuingia kitendo kilichomfanya
askari huyo awafyatulie risasi na kumpiga tumboni kijana huyo ambaye alijeruhiwa vibaya sana na kupoteza
maisha yake papo hapo.
 
[h=2][/h]

maisha yake papo hapo.​
 
haya mauwaji ya watu kwenye migodi yataisha lini? hasa kwenye migodi ya dhahabu.
 
Inaskitisha sana, siku nzima ya leo hakuna huduma ya television geita baada
ya kukatwa kwa huduma ya cable ambayo ndo huduma pekee ya kuwawezesha
wananchi wa geita kupata habari hii inadaiwa ni njama ya kuzuia habari hii
isisambae na kupelekea kuamsha hasira zaananchi.
Waliozipata habari hizi pamoja na wadau wenzake na marehemu wamekasirishwa
sana na kuahidi kulipa kisasi, kiukweli hali ya amani huku sasa ni tete.
 
Kama sehemu hairusiwi wao kwa nini wanaenda huko? Hao watu unao waita magwangala huwa sio watu wema maana huwa wanaingia katika ngome za migodi wakiwa na siraha.kwa upande wa mwadui watu hao huitwa wabeshi.mfano kuna watu wengi sana walikufa kule kakola kwa kukaidi amri kutoka ndani ya mashimo walimo kuwa wamezamia mpaka.mwisho wa siku wazungu wakaagiza mtambo (bull dozer d9)ifukie mashimo na hatimae watu walifia ndani ya mashimo.pia kule runzewe mgodi wa tulawaka hao magwangala au wabeshi waliwahi kuvamia mgodi na kupiga bomu plant.kama haitoshi wengine kule kahama buzwagi baada ya kuzidi sana kuiba mafuta polisi waliongezwa mgodini hapo,kutokana na hari hiyo wabeshi walimvamia askari polisi wakamuuwa na kumnyang'anya bunduki na kutoweka nayo. Na mengine mengi tu hao wabeshi wamefanya
 
Jamaaani,mkuu huyo askari ni wa kampuni ipi?g4s au ggm yenyewe? Make mgodi unalindwa na askari wa aina mbili,g4s na ggm,halafu weka jina la huyo askari nioganizenguvu ya umma tutoe disipline fasta au mpatie taarifa hizo jamaa mmoja anaitwa Dear Mama yupo pale mtaa wa rwenge hapohapo geita town,atajua cha kufanya
 
Inaskitisha sana, siku nzima ya leo hakuna huduma ya television geita baada
ya kukatwa kwa huduma ya cable ambayo ndo huduma pekee ya kuwawezesha
wananchi wa geita kupata habari hii inadaiwa ni njama ya kuzuia habari hii
isisambae na kupelekea kuamsha hasira zaananchi.
Waliozipata habari hizi pamoja na wadau wenzake na marehemu wamekasirishwa
sana na kuahidi kulipa kisasi, kiukweli hali ya amani huku sasa ni tete.

Mkuu Mbuki hao jamaa waliokata huduma ya kebo ndo wanaorushia matangazo ya kinyemela pale kwenye jengo la mzee Mulela au ni wale wachina wa CITCC?Piga moto ofisi hizo.period
 
haya mauwaji ya watu kwenye migodi yataisha lini? hasa kwenye migodi ya dhahabu.

Hujui thamani ya dhahabu na almasi?Hayataisha,pale Mwadui wanatafunwa na mbwa za wawekezaji
daile,nenda pale Maganzo utawakuta wahanga.
 
Kama sehemu hairusiwi wao kwa nini wanaenda huko? Hao watu unao waita magwangala huwa sio watu wema maana huwa wanaingia katika ngome za migodi wakiwa na siraha.kwa upande wa mwadui watu hao huitwa wabeshi.mfano kuna watu wengi sana walikufa kule kakola kwa kukaidi amri kutoka ndani ya mashimo walimo kuwa wamezamia mpaka.mwisho wa siku wazungu wakaagiza mtambo (bull dozer d9)ifukie mashimo na hatimae watu walifia ndani ya mashimo.pia kule runzewe mgodi wa tulawaka hao magwangala au wabeshi waliwahi kuvamia mgodi na kupiga bomu plant.kama haitoshi wengine kule kahama buzwagi baada ya kuzidi sana kuiba mafuta polisi waliongezwa mgodini hapo,kutokana na hari hiyo wabeshi walimvamia askari polisi wakamuuwa na kumnyang'anya bunduki na kutoweka nayo. Na mengine mengi tu hao wabeshi wamefanya

Acha uongo wewe buzwagi askari alisema na hao wezi wa mafuta wakampa hela nzuri tu wapige zutu then akajifanya mjanja ndo waka mu disipline ila hawakumuua huyo polisi bwana na silaha ilipatikana chini ya umahiri wa buzwagi mine security manager Mr.Mark Sydney.R.I.P Sydney kwa hiyo ajali ya gari iliyochukua roho yako huko majuu
 
kama ndivyo basi asante kwa kuniweka sawa kwa ishu ya buzwagi. Na vp kakola na mwadui kwanini wanaingia katka ngome bila idhini? Mwadui asilimia kubwa hao wabeshi wanajiua wenyewe hao mbwa wamefunzwa hawawezi mbwa kuingia mtaani na kuuma watu ila watu ndo wanawafuata mbwa. Kama sio hilo tu mwadui kuna bwawa la tope lini ambalo ukilitazama kwa juu unaweza jua hapo ni pakavu. Wabeshi wengi wamefia humo maana hupita hapo wakizani njia salama hatima hutitia na kuzama ndani ya tope na kufia humo humo.naomba unijibu hao watu kwann huwa wanaingia sehem ambazo haziruhusiwi?
 
hata kama wameingia bila ruhusa ndio waamue kuua???
Tanzania zaidi ya uijuavyo.
 
jamani tufikie sehemu tuwe tuna pima mambo kwa uzito wake.inamaana huyo mlinzi yeye ange uwawa na hao wabeshi ingekuwaje? Mie sifahamu madhingira ya eneo la tukio lilivyo.ila ninachoomba kufahamu huyo mwananchi aliingia humo kwa ruhusa ya nani?mambo mengine haya hitaji uwelewa mkubwa kutambua kwa kifupi walienda kuiba hivyo mlinzi akawashitukia.
 
Inaskitisha sana, siku nzima ya leo hakuna huduma ya television geita baada
ya kukatwa kwa huduma ya cable ambayo ndo huduma pekee ya kuwawezesha
wananchi wa geita kupata habari hii inadaiwa ni njama ya kuzuia habari hii
isisambae na kupelekea kuamsha hasira zaananchi.
Waliozipata habari hizi pamoja na wadau wenzake na marehemu wamekasirishwa
sana na kuahidi kulipa kisasi, kiukweli hali ya amani huku sasa ni tete.
nani kawadanganya kuwa kuna mtu anaweza kuzuia habari? waambieni imeandikwa.... hakika, wakinyamaza hawa, hata mawe yatapiga kelele
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom