Askari wa kike wa kiisilamu (jeshi na polisi) waruhusiwe kuvaa hijabu

Status
Not open for further replies.
Wafungwa pia wavae hijab, mabinti wa kiislam wasishiriki michezo ya wazi kama vile football, riadha, n.k may be kama itaandaliwa indoor na watazamaji wawe wanawake tu. Duu! uislam kazi kweli kweli

Nashauri waislam wote wa bara wahamie Z'bar ili wapractise hayo wanayoyataka na wakristo wa zenj waje bara. May be it can work.

kwani wakivaa hijab huo ufanisi utapungua ? kama haupungui, kosa liko wapi ?

Sasa mkuu mfano ni traffic police ndo kavaa kininja akakupiga mkono si utajua anaomba lift na kama gari imejaa utampita na itaonekana ni kosa, hapo itakuwaje?

Hivi we muanzisha mada umeshajiuliza efficiency ya hao watu wakivaa hijab itakuwaje? Nature ya kazi yao waijua vyema? askari siku zote na wakati wowote yuko standby, hata kama kastaaf ile kazi inakoma pale tu aingiapo kaburini.
Sasa imagine imetokea emergency na inatakiwa afanye maamuzi ya kukimbia ndani ya sekunde kaadhaa, akiwa amevaa hijab unadhani nini kitatokea?
Lakini hata hivyo hawajakatazwa kuvaa hijab wawapo mazingira fulanifulani ya kazi. Binafsi kuna dada namjua ni askari wa interpol, lakini akipita amevaa hijab yake wala huwezi kumdhania. Na through that style anafanya kazi nzuri na kuwadaka wazushi.

Tuanzie kwenye informal sector,mfano ni mabarmaid wa kiislam wavae hijabu,machangu wa kiislam wavae hijab...the tuhamie kwenye formal sectors zote

Kaka mlisema wenyewe wakati wa maandamano yenu mkitokea misikitini kupinga gadafi kuondolewa madarakani umesahau? ulevi wa dini bwana, bora chang'aa.

QUOTE=bitimkongwe;2417491]Edmund hiyo nembo umempa wewe mwenyewe kwa utashi wako. Mwislamu ndiyo na kama alisaidia kujenga misikiti sawa na wala siyo ajabu. Kwani Mafia si walikuwa wanasaidia sana kanisa katoliki?[/QUOTE]

mahakama ya kadhi ipo njiani inakuja..... ukitaka msitake! kwanza nashangaa haitowahusu ninyi... kelele za nini...?! waislam tuna maswala yetu ya ndoa & mirathi na family tunahitaji itatuliwe kutokana na misingi ya dini yetu..

hapo unawasemea wanawake wa kiislam .. kama wenyewe wakipaza sauti na kusema kwanini wa sisikilizwe ... kuvaa hijab ni haki yao na halina ubishi hilo....

SASa kama wenyewe mabint wa kiislam hawataki mtawalazimisha ... wakipaza sauti lazima wasikilizwe ...

Hii nchi huishi peke yako lazima mkubali kuna watu wana culture , dini & tabia tofauti.... IF hijjab offends you, turn the other way. IF you do not understand it, knowledge yourself. IF you can't accept it, walk away. IF you have any questions, ask about it . BUT DO NOT disrespect muslims for what they believe. Hijjab is muslim girl personality Hijjab is her pride, Hijjab is her right and you don't have the right to judge her about it .

hujakatazwa amini unachoamini weye

Na ninyi mjiandae kukubali kutii IBADA ZETU ZA MIZIMU NA KUABUDIA chini ya miti, pia ukifika wakati tusije wasikia mnasema sisi TUNAOTHAMINI DINI ZETU ZA KIAFRIKA mkituita makafiri au wapagani, maana hamchelewi.

Mavazi bora yetu ni yale ya MSWATI STYLE.

wewe kama haujalogwa na wazungu utakuwa umelogwa na waarabu, nimeona msimamo wako.
WEWE NI MTUMWA MAANA UNAKATAA KWENU NA KWENDA KUISHI UGENINI-KIDINI.
AMKA UONE MISINGI YA DINI YA KIAFRIKA, TANGU LINI UMESIKIA WAUMINI WAKE WANAGOMBANA WAO KWA WAO. ACHA HIZO BW. WW NI MTUMWA TUUUU HATA UKIKATAA WW NI MTUMWA. ANGALIA MAKANISANI KULIVYO NI MIGOGORO, ANGALIA MISIKITINI KULIVYO NA MIGOGORO. HAYA SEMA LINI UMESIKIA KWENYE DINI YETU YA KIAFRIKA TUMEPIGANA AU KUCHAPANA VIBOKO? KWETU KUKO SHWARI MTANZANIA MWENZANGU.

TOKA KWENYE HICHO CHUNGU ULICHOJIFUNIKA. KAMA HUTOKI UONE HUKU NJE OOOOOOOOOOOOOOOO!!!!!!!!!!!!!
SIKUKUU NJEMA KAMA NI MUHIMU KWAKO

Napenda kuliweka hili hapa jamvini kama zawadi ya Eid kwa kila mwana jamvi Eid Mubarak

Katika taasisi nyingi hapa Tanzania wafanyakazi wao wanavaa na wanaruhusiwa kuvaa mavazi yanayolingana na dini zao kwa mfano, wafanyakazi wa wizara maofisa wabunge na hata walimu na madaktari pia wanafunzi wanaruhusiwa kuvaa hijab wakaiwa katika sehemu zao za kazi, ila hili sijaliona kwa wafanyakazi wa sekta ya ulinzi na usalama wa nchi yetu ambao wao ndio wamebaguliwa na dini zao wala sijasikia mtu kuwatetea hivyo mie naanza kuwatetetea naomba watu wote waniunge mkono ili dada zetu waliopo kwenye hizi taasisi waweze kumtii mwenyezimungu kama wengine walivyopewa fursa ya kumuabudu mola wao dada zetu waliopo kwenye sekta za ulinzi mavazi yao yanawadhalilisha sana wanavaa suruali na visiketi vifupi kwa kweli haliridhishi . zamani askari wa kiume walikuwa wakivaa kaptula lakini sasa wakaliondowa hilo wamewekewa suruwali na na sasa kuna mpango hata wafungwa pia watavalishwa suruali na hili la maaskari nalo liangaliwe kwa hekama na busara dada zetu nao wanahitaji kuvaa mavazi yatakayowastiri maungo yao na linawezekana.

Naomba kuwasilisha nina haraka sana modem yangu imekwisha pesa

Umepata wapi malalamiko? AU ndo ulevi wenu umeanza tena.?

wakristo wote ni wanafiki,kaeni kimya. Lakini na amini kuwa mungu yupo na atarahisisha mambo . . .ikiwa anajuwa yale ambao hatujuwi.

wewe huoni unakufuru mwanamke kufanya kazi za kuajiriwa! kwa nini hamuwaigi wapemba ambao hadi markiti wanaenda wenyewe madume!

mahakama ya kadhi ipo njiani inakuja..... ukitaka msitake! kwanza nashangaa haitowahusu ninyi... kelele za nini...?! waislam tuna maswala yetu ya ndoa & mirathi na family tunahitaji itatuliwe kutokana na misingi ya dini yetu..

hapo unawasemea wanawake wa kiislam .. kama wenyewe wakipaza sauti na kusema kwanini wa sisikilizwe ... kuvaa hijab ni haki yao na halina ubishi hilo....

SASa kama wenyewe mabint wa kiislam hawataki mtawalazimisha ... wakipaza sauti lazima wasikilizwe ...

Hii nchi huishi peke yako lazima mkubali kuna watu wana culture , dini & tabia tofauti.... IF hijjab offends you, turn the other way. IF you do not understand it, knowledge yourself. IF you can't accept it, walk away. IF you have any questions, ask about it . BUT DO NOT disrespect muslims for what they believe. Hijjab is muslim girl personality Hijjab is her pride, Hijjab is her right and you don't have the right to judge her about it .

hujakatazwa amini unachoamini weye

Mkuu,

Unabishana na watu wenye dharau na udini hawawezi kukuelewa hata siku moja mwisho wa siku unapoteza muda wako. Mie nawasubiri waniletee hoja against mahakama ya kadhi naona lithread limekuwa likubwa bila ya mpangilio. Kiufupi hawana hoja zaidi ya kuishia kukubandika majina tu mara we mdini, mara umesoma hujaelimika mara sijui nini zote ni dalili za watu kushindwa. Kwa bahati mbaya wazee wetu waliona umuhimu wa kutepeleka shule sasa inabidi tuwalipe fadhila again kuvaa hijab is a fundamental right of worship ya mtu. Kama Masingasinga zama za mkoloni walikuwa wakivaa kibandiko juu na wanawake kwao ni mwiko kutembea vichwa wazi. Hivyo madai yao ni ya msingi sasa wewe leta hoja za kwanini hukubaliani nazo otherwise just shut the hell up!!!!!!

Turuhusiwe pia kutembea na mabomu so that when it comes to killing in the name of Allah", iwe rahisi

Napenda kuliweka hili hapa jamvini kama zawadi ya Eid kwa kila mwana jamvi Eid Mubarak

Katika taasisi nyingi hapa Tanzania wafanyakazi wao wanavaa na wanaruhusiwa kuvaa mavazi yanayolingana na dini zao kwa mfano, wafanyakazi wa wizara maofisa wabunge na hata walimu na madaktari pia wanafunzi wanaruhusiwa kuvaa hijab wakaiwa katika sehemu zao za kazi, ila hili sijaliona kwa wafanyakazi wa sekta ya ulinzi na usalama wa nchi yetu ambao wao ndio wamebaguliwa na dini zao wala sijasikia mtu kuwatetea hivyo mie naanza kuwatetetea naomba watu wote waniunge mkono ili dada zetu waliopo kwenye hizi taasisi waweze kumtii mwenyezimungu kama wengine walivyopewa fursa ya kumuabudu mola wao dada zetu waliopo kwenye sekta za ulinzi mavazi yao yanawadhalilisha sana wanavaa suruali na visiketi vifupi kwa kweli haliridhishi . zamani askari wa kiume walikuwa wakivaa kaptula lakini sasa wakaliondowa hilo wamewekewa suruwali na na sasa kuna mpango hata wafungwa pia watavalishwa suruali na hili la maaskari nalo liangaliwe kwa hekama na busara dada zetu nao wanahitaji kuvaa mavazi yatakayowastiri maungo yao na linawezekana.

Naomba kuwasilisha nina haraka sana modem yangu imekwisha pesa

mmmmh! hijab kwa askari? how to perform mfano kwenye kuzima moto? kufanya mazoezi? nk?
....... mi naona wasijiunge na jeshi .........

Mkuu,

Unabishana na watu wenye dharau na udini hawawezi kukuelewa hata siku moja mwisho wa siku unapoteza muda wako. Mie nawasubiri waniletee hoja against mahakama ya kadhi naona lithread limekuwa likubwa bila ya mpangilio. Kiufupi hawana hoja zaidi ya kuishia kukubandika majina tu mara we mdini, mara umesoma hujaelimika mara sijui nini zote ni dalili za watu kushindwa. Kwa bahati mbaya wazee wetu waliona umuhimu wa kutepeleka shule sasa inabidi tuwalipe fadhila again kuvaa hijab is a fundamental right of worship ya mtu. Kama Masingasinga zama za mkoloni walikuwa wakivaa kibandiko juu na wanawake kwao ni mwiko kutembea vichwa wazi. Hivyo madai yao ni ya msingi sasa wewe leta hoja za kwanini hukubaliani nazo otherwise just shut the hell up!!!!!!

Mheshimiwa sana shikamoo!!
Naomba unisaidie nina katatizo kadogo, walipa kodi wakubwa ni kampuni ya bia, sigara, benki ambazo hazifuati sharia za kiislamu nk nk na walipa kodi wadogo ni pamoja na wakaanga nyama za nguruwe, pombe ya kibuku, mnazi nk nk. Sasa mshahara wa Kadhi Mkuu utatoka katika kodi ipi? Mr.M pamoja na wana jamvi wengi naomba msaada wa mawazo ili nielewe, asanteni

Safety usiogope; Polisi wa kiume crown za kofia zao ziwe za msalaba badala ya ngao!
asalaam alekum hii mie nimeipenda sana kweli waisilamu wa kike waliopo majeshini wanasahaulika sana naomba ianzishwe sare maalum kwa ajili yao ili wavae hijabu kama vile wabunge na walimu na wafanya kazi wengine wanavyopewa fursa safi sana japo wakiristo watachukia lakini hio ndio dini yetu wao inawauma maana wameshapotea wanapenda kutuona na sisi waisilamu tunapotea

Wafungwa pia wavae hijab, mabinti wa kiislam wasishiriki michezo ya wazi kama vile football, riadha, n.k may be kama itaandaliwa indoor na watazamaji wawe wanawake tu. Duu! uislam kazi kweli kweli

Nashauri waislam wote wa bara wahamie Z'bar ili wapractise hayo wanayoyataka na wakristo wa zenj waje bara. May be it can work.
pia na mie nashauri makafiri wote wa tanzania waamie bara mbeya huko ndio kwenu tuachieni pwani yetu ndio mumetuletea uasharati na ushenzi mkubwa pwani

Mheshimiwa sana shikamoo!!
Naomba unisaidie nina katatizo kadogo, walipa kodi wakubwa ni kampuni ya bia, sigara, benki ambazo hazifuati sharia za kiislamu nk nk na walipa kodi wadogo ni pamoja na wakaanga nyama za nguruwe, pombe ya kibuku, mnazi nk nk. Sasa mshahara wa Kadhi Mkuu utatoka katika kodi ipi? Mr.M pamoja na wana jamvi wengi naomba msaada wa mawazo ili nielewe, asanteni
changia hoja si kuuliza maswali wewe tunaongelea mavazi sio ulevi wenu na kuuza madawa ya kulevya

Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom