mitandao mingine haina mizuka ka tigo, hili jambo la kula kampuni hapa bongo linashamiri kwa kasi ktk jamii yetu sijui tatizo nini katika wasichana kumi wanne kampuni zao zinalika huu ni mwisho wa duniaDuh!inatisha sana,mbona watu siku hizi wanapenda sana TIGO!!
vipi na wewe ni mwanachama nini!!!!mitandao mingine haina mizuka ka tigo, hili jambo la kula kampuni hapa bongo linashamiri kwa kasi ktk jamii yetu sijui tatizo nini katika wasichana kumi wanne kampuni zao zinalika huu ni mwisho wa dunia
itakuwa dio tabia yaokoko, ina maana kwa jane mangwangwa, konan, mabehewani maeneo ya iwawa pale makete ndo mmefikia hatua hiyo?
alaf lile tangazo c limedhaminiwa na polisi wenyewe.Tone moja tu la ziada litakuumbua.
ulevi noumaaaTone moja tu la ziada litakuumbua.
Mkuu ina maana RR ana fistula? Mshauri aende CCBRT upasuaji wa kurekebisha hiyo kitu ni bure!ungesoma post yangu vizuri aise.nimesema 'labda bibiye hayuko sawa kimaumbile',maana yangu ni ku include na hiyo fistula yako!
Hivi yale matangazo yenye hako kamsemo si kwa hisani ya jeshi la polisi sijui na wizara gani? Sa ina maana polisi nao hawafunzwi kuwa ulevi noooma!???? Wangeanza kuelimishana wao kabla hawajaanza kuelimisha umma
kweli kabisa Wos kuna Afande mmoja wa kike yupo pande za katikati ya Mlandizi na Kibaha maili 1 anatukana yule Traffic officer... Uso wake kama umekumbwa na Ndui... Analazimisha rushwa mfano;Mnatoa hiyo 5000/- au hamtoi #$%@&~yooo anarudia hata mara 5.Kweli aisee.Ni ajabu kuona askari wa siku hizi wanavyojiweka mbele ya raia. Kuna askari wa kike huwa anatumia lugha chafu kwa madereva DSM HADI KABATIZWA JINA LA "Afande matusi". Sijui kama wakuu wao wanasikia habari za kuporomoka maadili ndani ya jeshi la polisi.Maafande jamani mjirekebishe.Askar anatakiwa kuwa mfano wa kujiheshimu.
................aisee!!:smow:alaf lile tangazo c limedhaminiwa na polisi wenyewe.