Askari wa JWTZ na POLISI wachapana Kavukavu Mwanza

Na bado ukiona hivyo watu wamesha choka sana na udhalimu huo.....Bora wananchi waamue moja tu kukataa wanafiki.
 
Ebwana ee e nimeipenda sana ili wajue utamu wa yale mabomu ya machozi wanaturushiaga pale viwanja vya jangwani dar.
Walizani ni asali yale maji?
 
Back
Top Bottom