Askari wa JWTZ auwawa kinyama

Shaycas

JF-Expert Member
Feb 13, 2009
906
110
Alikuwa kwenye matembezi yake huko Ibera na alitakiwa kurudi kazini lakini kwa muda wa siku tatu hakuonekana hadi alipo kutwa akiwa amekufa na kufukiwa kwenye shimo wanalotumia wapasua mbao.
Askari huyo aitwae Bwire alihamishwa toka Bukoba kwenda Biharamulo na alikuwa ameenda tena bukoba kupeleka nyaraka flani na baada ya kuwasilisha ndipo alienda kutembea na mauti kumkuta.
Ni takribani miezi miwili tangu askari mwingine kupigwa na kuumizwa vibaya na Wamasai ndani ya eneo la jeshi huko Arusha.
 
ukute alifumaniwa maana jamaa zangu wakiwaga na pesa za safari , hutamani kilam mwanamke.
 
Back
Top Bottom