Askari wa JWTZ auwawa kinyama na Wananchi

Shaycas

JF-Expert Member
Feb 13, 2009
906
110
Askari huyo aitwaye BWIRE amekutwa amekufa na kufukiwa kwenye shimo ambalo hutumiwa na wapasua mbao ktk eneo la Ibera wilaya ya Muleba Mkoani Kagera.
Tukio hili limetokea ndani ya miezi miwili baada ya Askari mwingine kupigwa na wamasai hadi kuzimia huko Arusha.
 
Jamani imekuwa kila siku tunasikia askari wa JWTZ kaua mwananchi ujue nao wananchi si wapuuzi kusikia kuuliwa kwa wanzao,mla halwa,kwa kiswahili fasaha anaekula nae ataliwa tu siku moja...hivi vijimambo vimeanza kuwarudia baada ya mida mingi wao kuua wananchi...ni kihoja tu wajameni.
 
Ndani ya habari yako hujaeleza wananchi hao wamemuuwa vipi askari huyo , tafadhali rekebisha kichwa cha habari kiendane na habari ya ndani
 
Jamani imekuwa kila siku tunasikia askari wa JWTZ kaua mwananchi ujue nao wananchi si wapuuzi kusikia kuuliwa kwa wanzao,mla halwa,kwa kiswahili fasaha anaekula nae ataliwa tu siku moja...hivi vijimambo vimeanza kuwarudia baada ya mida mingi wao kuua wananchi...ni kihoja tu wajameni.
Aanzae naye umalizwa, wamezidi hawa, wanajifanya wako juu ya sheria, juzi wamempiga mpaka kumuua Fundikira, wahaya hawana mchezo bwana
 
Back
Top Bottom