ASKARI wa JK waua tena...

Bora Joyce Banda afanye haraka kutuvamia ili hawa askari wetu waende vitani, tangu wafanye mafunzo na wanavyotembea na bunduki kila siku wanalazimika kuua raia wasiokuwa na hatia ili kutimiza mafunzo waliyopata walipokuwa vyuoni.

Joyce Banda tangaza vita mara moja, wananchi wanyonge wanaonewa kila siku bila sababu za msingi.
 
hawa askari wa wanyama pori nani kawapa leseni ya kuondoa roho za raia wasio na hatia?
kwani mtu akiwa jangili haruhusiwi kushtakiwa ?? sasa mbona wanawaua kikatili hivyo.
 
Few years back mnaeza kukumbuka walikua wakichoma nyumba za watu waliovamia msitu fulani wa hifadhi( I can't remember the details) , ktk kadhia ile kabla hawachoma nyumba fulani (its is kibanda fulani cha manyasi tbh), akatokeza bi kizee mmoja mule..sijui nini kilijiri baada ya hapo ila from that day i decided i will never forgive these satanists (magamba). wakati wanaua wavuvi wamewapa wamerekani wachimbe uranium hukohuko selious, which i am sure taifa halitafaidika ila few elite satanists.
 
Hapo penye Dr.mnapapenda kwa nini usiseme tu kikwete au rais Kikwete.

Inakuuma ehh! akiitwa DR.JK! ... ! He earned that title kwanini asiitwe hivo...

DR. JAKAYA MRISHO KIKWETE - :party: I hope it still hurts ...


 
Back
Top Bottom