R rodrick alexander JF-Expert Member Feb 12, 2012 15,190 20,156 Jun 10, 2014 #41 huyu angesubiri waruhusiwe kuwalinda wabunge halafu angemalizia hasira kwao alichofanya hakina maana
MTAZAMO JF-Expert Member Feb 8, 2011 19,643 33,427 Jun 10, 2014 #42 kwamtoro said: Siyo unamsifia tu mwenzako, nawe fanya ushujaa. Click to expand... Mimi ni Komandoo wa nyuma ya keyboard!!!! Uliza JF natisha sana.....
kwamtoro said: Siyo unamsifia tu mwenzako, nawe fanya ushujaa. Click to expand... Mimi ni Komandoo wa nyuma ya keyboard!!!! Uliza JF natisha sana.....