Askari na Vitambi: Taswira ya Taifa lililoshiba, shupavu au zembe?

Steve Dii

JF-Expert Member
Jun 25, 2007
6,402
1,254
Wawe askari wa barabarani, polisi, mgambo na hata baadhi ya wanajeshi; pahala pengi unapokutana nao, wanavitambi. Hivi hii inaleta taswira gani kwa jamii yetu?! Tumeridhika sana, taifa lilozembe au hii ndiyo miili inayofaa karne ya 21 kwenye ulinzi?
 
Back
Top Bottom