Askari na Dereva.

Kipstech

Member
Feb 15, 2012
38
22
Nilipokuwa ninarudi nyumbani, nilipata askari akiongea na derava mwingine aliyekuwa na kileo 'Beer' garini. Mazungumzo yalikuwa hivi:
Askari: habari yako dereva.
Derava: mz..urri. (akachukua chupa na kutia mdomoni)

Askari: ni nini hiyo unao mkononi.
Dereva: p..o..m.be.
Askari: mbona unakunywa pombe ukiendesha?
Dereva: he! He!
Askari: kumbavu. Unajua utamwakia pompe gari lako. Lete kitu kidogo mara moja.
 
kama alikuwa na matatizo ya 'g' then angekosea hapo kwenye green pia
othrwise its t*as*
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom