Askari jambazi auawa na raiya

......."ninaposema maisha ni magumu ni magumu kwa wanajeshi,polisi,walimu,usalama wa taifa na wengine wote ambao wanajipatia kipato si kwa ufisadi wala wizi wa aina yoyote ile"....mhe Slaa, akifafanua jambo juu ya kupanda kwa gharama ya maisha Mytake kama ndio mtu anakula shambani mwake hii ni hatari,kwanza hawajatuambia zile silaha za malima ziko wap.......ngoja tuone mhe Nchimbi atachukua hatua gani.....
 
Ilikua ni juzi mishale ya saa kumi na mbili jioni maeneo ya mbauda ktk mji wa Arusha ambapo mfanyabiashara wa vifaa vya ujenzi mwenye asili ya kabila la maasai alikua akijongea kwake kwa gari aina ya canter lililokua likiendeshwa na mke wake.
Gafla wakikaribia geti la kuingia nyumbani, ilitokea pikipiki iliyokuwa na watu watatu(mshkaki) ambapo alishuka kijana mmoja na kuwaonyesha bastola mzee yule na mkewe na kuwataka wampatie fedha.
Mama yule alikabithi pochi kwa jambazi lile na baba akaambiwa na yeye atoe fedha zote za mauzo, mzee yule akaingiza mkono mfukoni kuashiria kuwa anatoa fedha lakini kinyume chake mzee yule akatoa bastola yake na kumlenga jambazi ambapo palepale akapoteza maisha na wenzake wawili wakakimbia na pikipiki.
Baada ya kukagua bastola aliyokua nayo jambazi yule ikagundulika kuwa bastola ile ni mali ya jeshi la polisi na jambazi aliyeuwawa ni askari polisi wa hapa mjini arusha.
Mpaka sasa habari hii inafichwa na swala hili linaendeshwa kwa usiri mkubwa kwa nia ya kuhifadhi reputation ya jeshi la polisi.

My take:
Hawa askari wanapewa silaha nzito while wanalipwa mshahara kiduchu sasa matokeo yake wameamua kuwa majambazi na kuacha kazi ya ulinzi wa raiya na mali zake. Hakika watatumaliza.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

Unadhani kwa Arusha ilivyo na utitiri wa vyombo vya habari na wana habari ni rahisi kutosikika hii kitu? Najaribu ku think loud tu, uchunguzi ufanyike pengine askari alisingiziwa jambazi ili kuficha maovu ya huyo mfanyabiashara. Nasema hivyo kwa maana pana hasa uzi wako kuwa na taarifa ya upande mmoja. Generally ni swala la muda ku unfold kila kitu.
 
Ilikua ni juzi mishale ya saa kumi na mbili jioni maeneo ya mbauda ktk mji wa Arusha ambapo mfanyabiashara wa vifaa vya ujenzi mwenye asili ya kabila la maasai alikua akijongea kwake kwa gari aina ya canter lililokua likiendeshwa na mke wake.
Gafla wakikaribia geti la kuingia nyumbani, ilitokea pikipiki iliyokuwa na watu watatu(mshkaki) ambapo alishuka kijana mmoja na kuwaonyesha bastola mzee yule na mkewe na kuwataka wampatie fedha.
Mama yule alikabithi pochi kwa jambazi lile na baba akaambiwa na yeye atoe fedha zote za mauzo, mzee yule akaingiza mkono mfukoni kuashiria kuwa anatoa fedha lakini kinyume chake mzee yule akatoa bastola yake na kumlenga jambazi ambapo palepale akapoteza maisha na wenzake wawili wakakimbia na pikipiki.
Baada ya kukagua bastola aliyokua nayo jambazi yule ikagundulika kuwa bastola ile ni mali ya jeshi la polisi na jambazi aliyeuwawa ni askari polisi wa hapa mjini arusha.
Mpaka sasa habari hii inafichwa na swala hili linaendeshwa kwa usiri mkubwa kwa nia ya kuhifadhi reputation ya jeshi la polisi.

My take:
Hawa askari wanapewa silaha nzito while wanalipwa mshahara kiduchu sasa matokeo yake wameamua kuwa majambazi na kuacha kazi ya ulinzi wa raiya na mali zake. Hakika watatumaliza.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

Mpaka hivi sasa habari hii iko mifukoni mwa jeshi tajwa!

Na acha wafiche mpaka tuone mwisho wake!
Na hili linafichwa kutokana na kuwa jambazi ni wa jeshi lengwa!
Hii noma!
 
Back
Top Bottom