Askari ''Cornell Kufahaizuru' aliyezuia wizi bandarini Dar atekwa

Anabaka kuku?

ni visual tu


lakini ujumbe unajitosheleza, kijibwa kilafi kinaweza kula hata mchanga, bila kujali anything, ndipo tulipofikia sasa, wanaiba, wanaua, wanatekana, wanatishana, wanatutisha, hawana manners, wa barabarani ndio usiseme, ukimpa lifti anatoa siri zote hadi za vipele alivyonavyo sehemu za siri.....

yote hiyo ni kupigika na maisha, kupigwa na walafi wachache wenye vyeo vya juu, kupigwa na mfumo uliosahau usawa nk.

we are eating each other indirectly
 
Back
Top Bottom