Askari alokutwa hospital ndie mtuhumiwa no.1

Hivi hao maafisa usalama wakiugua watapelekwa India pia? Na wake zao wakitaka kujifungua watapelekea Johanesburg? Madaktari wakiamua kuwafanya unyama maafisa usalama watasalimika? Wakiamua kuwadunga sindano zenye virusi au sumu watakwepa? Mbona wanatangaza vita wasiyoiweza?
 
There are three things that cannot remain long hidden: the sun,the moon and the Truth. Qoute Budha.
 
Hivi hao maafisa usalama wakiugua watapelekwa India pia? Na wake zao wakitaka kujifungua watapelekea Johanesburg? Madaktari wakiamua kuwafanya unyama maafisa usalama watasalimika? Wakiamua kuwadunga sindano zenye virusi au sumu watakwepa? Mbona wanatangaza vita wasiyoiweza?

nasikia wanayo hospital yao hapo Dar ingawa huku mikoani tupo pamoja tu hawana lolote
 
Hivi naomba kuuliza usalama wa Taifa lazima wavae suti nyeusi coz mara nyingi sana naona wako kwenye hizi nguo. Pale chuoni MUHAS kulikuwa na mwalimu wetu yeye siku zote anavaa nguo nyeusi hivi ni lazima? Hata yule wa leo alivaa nyeusi, walinzi wa Rais vilevile, mwongozo wakuu

Mkuu, nadhani huyu aliyechapwa leo sio usalama wa taifa. Ni kachero wa polisi wa kawaida tu.
 
Jamani yule ndiye mtu ambaye angeanzisha upelelezi ambao ndio ungeleta jibu la chanzo cha tukio. Sasa tunasikitika amepigwa.
Kwa nini ajibanze chooni na kuongea na simu kutaarifu wenzake eti ulimboka bado yu hai?

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Wanafiki wakubwa huyo hakuwa mpelelezi wala nini,
1. Kwanini asiende kwenye maeneo ya tukuo yeye ameenda hospitali?.
2. Inakuweje tukio limeripotiwa kituo cha tegeta, wameacha, Tegeta, Wazo, Kawe na Osterbay huyo mpelelezi ametokea kituo cha salenda?.
3. Tangu lini mpelelezi akaripoti matukio kama anatangaza mpira? Hana ofisi? Na kwanini alijificha chooni?.kulikuwa na jambo gani la haraka kuumfanya aripoti akiwa eneo la hospital? Kama upelelezi wenyewe ndio huo hamna kitu.

Mungu amempigania yupo hai na afya yake itaimarika na kwa kitendo moja kwa moja inaonyesha mamlaka inahusika.
 
Sasa Mpoki unalalamika nini? Wale watanzania mliowagomea kuwatibu bila shka mmeelewa machungu yao. Nyie madktari hamna lolote just a bunch of cronies of chadema! Unallamika ulimboka kchelewa kupewa huduma? Nyinyi mnavyogoma kuwapatia wananchi huduma? Shame on you!
 
Walitumwa kuua wao wakaumiza tu! Sasa hawatamgusa tena. Kuanzia leo madaktari tumeunda kamati ya mlinda wkt wa matibabu tunajua pindi na wenzake hawataki aishi. Sasa waje MNH na vibunduki vyao. Umma haujawahi kushndwa na askari wataua mia hlf tutawatoa Ikulu. Wamufuate aliko Gadafi.

Mkuu unaongelea Umma huu mliogoma kuutibu?
 
Jamani yule ndiye mtu ambaye angeanzisha upelelezi ambao ndio ungeleta jibu la chanzo cha tukio. Sasa tunasikitika amepigwa.

Kwani amepigwa kiasi haweziongea? atasema tu ile kumpiga ilikuwa ni hasira za kumuona jinsi Ulimboka alivochakaa kwa kipigo!!
 
Sasa Mpoki unalalamika nini? Wale watanzania mliowagomea kuwatibu bila shka mmeelewa machungu yao. Nyie madktari hamna lolote just a bunch of cronies of chadema! Unallamika ulimboka kchelewa kupewa huduma? Nyinyi mnavyogoma kuwapatia wananchi huduma? Shame on you!

dah mtu akidai haki anaitwa chadema basi wafanyakaz wote chadema kasoro polisi
 
abanwe huyo huyo....anajua kila kitu.....

Watu wa Dar nao ni Dhaifu kama baba yao. Ingekuwa Arusha, Mwanza au Mbeya yule jamaa asingechomoka. Inaudhi mtu anaongea eti bado anahema hajafa anahema, halafu anaachiwa! Kwa hili sitaki kuitwa Great Thinker!
 
Sasa Mpoki unalalamika nini? Wale watanzania mliowagomea kuwatibu bila shka mmeelewa machungu yao. Nyie madktari hamna lolote just a bunch of cronies of chadema! Unallamika ulimboka kchelewa kupewa huduma? Nyinyi mnavyogoma kuwapatia wananchi huduma? Shame on you!

sasa hivi kila kitu cdm madaktari cdm, mkeo akikugomea ndani chadema, mtoto akikusoa chadema...stop dreaming and live in the cdm's shadow...shame on u too..
 
Sasa Mpoki unalalamika nini? Wale watanzania mliowagomea kuwatibu bila shka mmeelewa machungu yao. Nyie madktari hamna lolote just a bunch of cronies of chadema! Unallamika ulimboka kchelewa kupewa huduma? Nyinyi mnavyogoma kuwapatia wananchi huduma? Shame on you!

ni imani yangu unamtindio wa ubongo mkuu hujui unalo lisema aliye sababisha mgomo ni doctors au serikali kwa kushindwa kuwajibika.,?
 
Back
Top Bottom