Askari aliyemuua Mwangosi achongewa 'birth certificate' feki

Labda kama una utani nao, hili jambo sio la wanyalu pekeyao ni la taifa kwani udhalimu huu haukuwaleng wanyalu
 
Labda kama una utani nao, hili jambo sio la wanyalu pekeyao ni la taifa kwani udhalimu huu haukuwaleng wanyalu

Mkuu Afwe hakuna issue ya ukabila hapa ila katika kufinyanga ukweli ndo maana wanafeki cheti cha kuzaliwa na kabila ili kuficha udhalimu wao.This time wataumbuka.
 
Wewe ona kama nikupandikiza chuki, AMINI, AMINI nakuambia kwa aina ya uaji aliyoufanya huyo askari hata kama atachongewa vyeti maisha yake hayatazidi miaka mitatu kuanzia sasa. Damu na mwili alioutapanya vitamhukumu yeye na uzao wake. Amen.

sio kweli,we unajaribu tu kupandikiza chuki zako
 
Ama kweli nangojea nione watafikia wapi hawa mafisadi na njama zao za mwaka 47.
Ila kwa kuwa serikali hii tunayoijua iko vile na hata hili hawana hiana kulitenda mara moja.
Ila narudia tena kusema ya kwamba siku zao zinahesabika!
 
tuna akili kuliko wao,hata kama akibadilisha jina,mahakamani tutamuuliza alete na vyeti vyake vyote vya shule tuone kama vitafanana na hilo jina jipya,akibisha tutamwambia alete vyeti vya wazazi wake,patamu hapoooo
 
Haiwezekani kitu kama hicho,hizi ni propaganda tu.polisi ndio waliomkamata wakampeleka mahakamani,wangetaka kupindisha wasingemfikisha mahakamani,wangemtorosha huko huko mitaani
Wee nae vipi? au unajifanya mgeni na nchi hii, hao pilisisiemu walikuwa na haja ya kumkamata huyoo muuajii mwenzao? tokea mwanzoni walishaanza kupindisha habari na kusingizia kuwa kuna kitu kizito kilirushwa kutoka upande wa wanachama wa Chadema, hiyo story ilififia baada ya kuona wanaharakati, waandishi wa habari na wananchi wamekomalia ikabidi waanze huu mchezo wa kuigiza unaoendelea sasa. Unajifanya unaiamini sana hii serikali na hao polisisiemu, kwani kesi ya Zombe ilikuwaje? au Balal si walisema hawezi kwenda kokote sababu wamemnyang'anya traveling Passport yake, sasa alitowekaje kama sio udhaifu wa serikali na polisisiemu ambao leo hii unawatetea. Na yule Mpakistani aliyekuwa anashikiliwa katika kesi ya kusafirisha wanyama hai yupo wapi leo, kama sio hao polisisiemu na uhasama wa taifa kumkimbiza. Nimeamini kuwa kuna watu hapa JF wanalipwa na akina Nape kwaajili ya kuja kutetea utumbe wa serikali na taasisi zake. Sikutarajia kuona mtu angeweza kuwatetea polisisiemu kwenye suala kama hili la kutorosha watuhumiwa ili kuisafisha serikali.
 
Habari ni kwamba, hukumu ya huyu mtuhumiwa (naomba nimuite muuaji), itakuwa clouded na ushahidi wa kuchonga (INSANITY) na marafiki wa mahakama watathibitisha hilo

Na ndio maana kesi imeandikwa ameua na wakasau kwamba amejeruhi askari mwenzake pia maana police wetu wanavyojua kubambikiza kesi kiasi kwamba unaweza kuandikiwa umeua, umeandesha bila leseni, hukuvaa uniform lakini kwa huyo askari it seem like kama amefanya kosa moja tu
 
Mkuu, ujasiri wa wahehe ulikwenda na Mkwawa. Unyanyaswaji aliofanyiwa Mkwawa na wajerumani umewafanya wahehe wa baada ya Mkwawa kuwa waoga ile mbaya. Kujinyonga wamerithi toka kwa Mkwawa ambaye alijinyonga alipobaini kuwa wajerumani wamemshinda na wangemkamata. Mhehe wa sasa anaona afadhali ajinyonge kuliko ku-fight back akihisi ameonewa!! Hakuna kabilla ambalo ni subservient sasa hivi hapa Tz kama wahehe. Ndiyo maana wamejaa TISS.

Usije ukafanya siri na mhehe

spot on mkuu

wameshaiwshiwa kijinga kumtumikia mtawala, na wanawalamba miguu akina Lukuvi, Bi kiroboto na sasa wamemweka mgimwa as well............... na sifa yao ya pili ni kuabudu pesa, which was not in their blood zamani
 
Huku watanzania wakipinga hatua ya jeshi la polisi mkoa wa Iringa kumfikisha mahakamani mtuhumiwa mmoja pekee Kati ya askari zaidi ya 6 waliokuwa wakimpiga Marehemu Daudi Mwangosi kabla ya kuuwawa kwa bomu,zipo taarifa zilizovujishwa na askari mkoani Iringa kuwa imeandaliwa mbinu chafu ya kumtetea mtuhumiwa huyo ili kuonkana kuwa mtuhumiwa huyo alikuwa na tatizo la utindio wa ubongo.

Mtandao wa Francis Godwin umedokezwa na mmoja Kati ya makachero wa polisi ambao wanapinga unyama huo wa mwanahabari Daudi MWANGOSI kuuwawa kwa bomu.

Imedaiwa kuwa lengo la kutaka kufanya hivyo ni kutaka kulilinda jeshi zima la polisi na waziri wa Mambo ya ndani ya nchi Dkt Emmanuel NCHIMBI huku wengi wao wakihoji sababu ya Kamati ya ulinzi na usalama mkoa wa Iringa chini ya mwenyekiti wake mkuu wa mkoa wa Iringa Dkt Christine Ishengoma kuendelea kuwa Kimya hadi sasa.

Pamoja na kuhoji ukimya wa serikali ya mkoa wa Iringa pia ukimya wa Waziri mkuu na Rais Jakaya kikwete bila Kutoa rambi rambi Kama alivyozoeleka katika misiba mbali mbali ukiwemo wa msanii Kanumba na mingine huku Mauwaji haya Makubwa ambayo yameigusa tasni nzima ya habari hakuna aliyezungumzo chote chote.

Source: francis godwin blog
 
Ni upumbavu kuanza kupika uongo wa aina iyo na kama kweli polisi watajiaribia credibility yao pumbagu!
 
Yani huo MTINDIO ulikuwa unamlenga Marehemu Daudi MWangosi tu?
 
Yaani kwa kigezo hicho jeshi zima la polisi litaonekana ni la kipumbavu,"kama mtuhumiwa alikuwa na utindio wa ubongo ilikuwaje akawa kazini siku ya tukio?"...Inamana basi jeshi la polisi linaajiri wagonjwa kwasababu mauaji ya aina hiyo sio mara ya kwanza kutokea na kushuhudiwa.
 
Unaongelea polisi gani? Maana nchi yetu sasa haina polisi zaidi ya gang of murderers wanaotumiwa na wanasiasa kama nepi ya kufutia uchafu wao. Ni wachafu kuliko hata hao nguruwe. Kazi yao siku yote ni kufanya uchafu kama rushwa, kubambikia watu kesi ukiachia mbali kuua.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom