KOMBAJR
JF-Expert Member
- Nov 15, 2011
- 5,827
- 1,271
Katika mwendelezo wa mbinu chafu la jeshi la polisi wakishirikiana na watawala katika kufunika au kutaka kujinasua kutoka katika husika wa kifo cha Daudi Mwangosi.
Mbinu mbali mbali zimepangwa kutumika:
1. Kumtorosha askari aliyehusika mbinu hii ikipangwa kufanywa na askari wenzake kwakile wanachodai mwenzao kuonewa bila wakubwa kama kamuhanda na Mwema kupandishwa kizimbani wakati dogo alikuwa anatekeleza maagizo
2. Askari aliyehusika bw. Pasificus Cleophace Simon, kabila - Mhaya ametengenezewa cheti feki ambacho kinamtambulisha kwa jina la Kacian Aphonce Mapila, kabila - Mhehe!
3. Kuhujumu wajumbe wa kamati ya waziri nchimbi wameanza kwa kuwasuprise Makunga na Ihema.
CHANZO: Tanzania Daima
My take:
Haya yote yanayofanyika yanafanyika kwa faida ya nani? Huu usikivu wa serikali ya CCM upo wapi? Nahisi kilichotokea kwa kesi ya Zombe cha weza tokea hapa huyu dogo atatoroshwa then kamuhanda atapandishwa kizimbani siku ya huku jaji atadai wamlete aliyeua kitu ambacho kitakuwa kigumu.