Asiyewahi kucheat na ataje jina kamili humu

kwan m2 kutaja no. Za cmu na jina kamil ndio nn?kucheat ama kutocheat ukwel anao mhusika.tatizo hapa wanaume wamekuwa wakiwasemea wanawake,wanadhan twafanana nao katka mahitaj ya kingono au tunacheat kama wao.the way men wanaperceive na kukubal kucheat ni tofaut na women
 
Acha ku CHEAT, nimeacha kabisa mambo ya mahusiano baada ya ukimwi kuingia na kukosa mwenza muaminifu.
 
wakati mwingine vishawishi vinazidi natamani sana kucheat, lakini nafsi inanihukumu. pia ni muoga mno nawaza ntaanzaje anzaje. basi namshukuru Mungu kwa kunipa Hofu ndani yangu.
 
Back
Top Bottom