Asiyekula Nanasi Hajala kitu kitamu

Nyie ndio washamba wa kuona vitoto, she is fine but not extraordinary bana. Simply hanizidi :thinking:
 
He who desires a lifetime of happiness with a beautiful woman desires to enjoy the taste of wine by keeping his mouth always full of it! Maxims for the Revolutionist by Bernard Shaw.
 
Ana mashavu kama bunju, sasa huyo ana uzuri upi?

Hakuna kama Mwali wa JF.
 
Uongo mbaya jamani. Huyu mtoto sio siri kaumbwa akaumbika kasoro tu miguu yake imepinga kama fyekeo.
 
ni kazuri bwana!lakini vitoto km hivi unakuta havijuhi kutumia uzuri wao!kwenye game vina f!
 
Back
Top Bottom