Njowepo
JF-Expert Member
- Feb 26, 2008
- 9,710
- 2,226
Of latest nimesikia kuwa makambu wa raisi kasimikwa kuwa Malafyale uko Rungwe,while uko Rukwa pia last week.
Kama iyo ya Rungwe kasimikwa kwa kipi hasa alichokifanya maana nimegundua huu umekuwa kama upepo unaosambaa.
Na sasa yuko iringa utasikia wahehe nao wanampa uchief.
Kama kuna anayefahamu vigezo vinavyotumika kuwasimika hao watu pls tufahamishane bse to me some do not even deserve kuwa ata mabalozi wa nyumba kumi sembuse uchief!
Huo wa Dr Bilal ni mfano tuu but kuna utitiri wa viongozi wanapewa hiyo heshima wasi wasi wangu isije ikawa wanapewa laana badala ya heshima as huwezi kuwa chief wa makabila almost yote Tz