Asilimia kubwa ya MACHANGUDOA ni WASOMI

Yonjolo

Member
Jan 19, 2012
79
6
Kama ni kweli:
Je, hii inaleta tafsiri gani kwa next generation? Pia, kama tutapata %kubwa ya viongozi serikalini, pata picha Bunge litakuwaje? Maofisini je?
 
kaka we ni mdau nini -- hii info ni nyeti sana ww umejuaje?
 
Mkuu yonjolo
nenda kamuulize baba mzazi kabvla ya kumpata mama aliwapitia wangapi utajua kumbe sio wasomi tu hata wale nao walikuwemo lakini wamo
 
Yaani wewe mtu kuongea na wewe lugha ya kiingereza ndio unaona amesoma? Kumbuka wengine hiyo ni lugha yake tangu utotoni, haihusiani na shule yake. Lakini ni msomi gani huyu? ......TAKE ME, MY MILK IS STANDING, DOWN THERE IS DRY!!!!!!
 
Definition ya "Uchangudoa" inabidi itafutwe upya... Maana maofisini (kwenye elite class) kuna zaidi ya uchangudoa!
 
viingereza vyao kwakweli ni matatizo, rafiki yangu wa kigeni alienda kumnunua mmoja wakati wanaongea yule binti akasema 'you hit me' akimaanisha 'you heard me', rafiki yangu mgeni alikasirika sana akataka amdunde ngumi maana alikuwa tayari ameshapata mbili tatu, akaanza kulalamika kuwa kahaba anamsingizia kampiga wakati hata hajamgusa! hao ndo unasema wasomi? Wengine ni hulka yao tu hasa videnti vya darisalama, wengi wao wale wa vyuo vyuo ni vikahaba vizuri tu, so wakati anasubiria ajira pengine inabidi aweke mashine sokoni ili kusurvive
 
Jamani acheni kututusi! nyie mkiamua kukaa majumbani mwenu unadhani hao mnaowaita vyangudoa nani atawanunua??
 
viingereza vyao kwakweli ni matatizo, rafiki yangu wa kigeni alienda kumnunua mmoja wakati wanaongea yule binti akasema 'you hit me' akimaanisha 'you heard me', rafiki yangu mgeni alikasirika sana akataka amdunde ngumi maana alikuwa tayari ameshapata mbili tatu, akaanza kulalamika kuwa kahaba anamsingizia kampiga wakati hata hajamgusa! hao ndo unasema wasomi? Wengine ni hulka yao tu hasa videnti vya darisalama, wengi wao wale wa vyuo vyuo ni vikahaba vizuri tu, so wakati anasubiria ajira pengine inabidi aweke mashine sokoni ili kusurvive

Hapo kwenye red:Na pia boom likichelewa na pia wakiwa likizo na field wanakuwa hawana chapa kwa hiyo lamazima mashine iuzwe wapate chochote ili waishi.IFM ndo namba moja.
 
Hakuna mwanamume yeyeto Duniani hapendi changudoa hila pa kujistili kula naye naniiiii ndio anaona haibu, kama wote humu mungeondoa aibu muliyonayo mungewavamia kama mpira wa kona, kama wewe unabishi mbona ukipita pake unasimamisha gari au ukimwona pale Kona Bar unameza mate, wasingekuwa wezi yalaaaaaaaaaahha mungewaoa kwa muda!!?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom