ndiyomkuusana
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 666
- 421
kuna jamaa yangu alinielezea kwamba, %99 ya wanawake wanajiuza, Wengine Directly others Indirecty aliendelea kueleza kwamba, Directly ni wale ambao wanajiuza barabarani wakisubili wateja wao,Indirectly ni wale ambao wanampenda mwanaume kwa sababu ana kitu fulana ,inaweza ikawa anapesa au ana Cheo fulani au anafanya kazi nzuri hawa ni wale ambao ukifilisika mapenzi yanapungua kama sio kuisha kabisa,na ndoa inaanza kuwa mguu pande.
Aliendelea kuelezea kwamba watu kama hawa hata ukitoka naye out ,pamoja kwamba naye anafanya kazi hata hachangiii hata senti tano,sometimes anatoa lakini baada ya hapo lazima akupige mzinga kama sio siku hiyohiyo basi siku nyingine.aliendelea kueleza kuwa wanawake /wadada wa namna hii wapo wengi maofisini na vyuoni na baadhi kwenye ndoa.
Akasema %1 ya wanawake wana mapenzi ya kweli anaweza kukupenda hata kama hauna kazi au hata kama kipato kimepungua,na ukifukuzwa anakuwa anauzunika sana na anakuwa karibu sana na wewe . hata kama wote mnafanya kazi basi kusaidiana kunakwepo kutegemeana na uwezo wa kipato cha mwenzake.
Kwa kweli nilimbishia jamaa yangu, nikamwambia asilimia hiyo 99 ni kubwa mno naomba upunguze akasema hawezi punguza hiyo ndiyo fact, sasa wakuu naomba comments zenu juu ya suala hili je kweli.Wakina kaka na wakina dada naomba tusaidie juu ya suala hili kama ni kweli ,karibuni..