Asilimia 85% ya watanzania hawaitaki serikali ya jk kama uchaguzi ungefanyika leo

Kama uchaguzi ungefanyika leo Tanzania, asilimia 85% ya watanzania wanasema kuwa hawaitaki serikali iliyopo madarakani. Ufumbuzi huu umetokana na mini survey niliyofanya kwa kutumia data (maoni) kutoka kwa JF members (kuanzia 2010 baada ya uchaguzi mpaka leo).

Sampling na survey design:

Hii ni qualitative descriptive analysis iliyohusisha random sample iliyochaguliwa toka JF population (which is currently =38,368). Swali lililoangaliwa ni mtizamo wa maoni (opinions), yaani: pro au against the government. Control ya comfounding factors kama udini na ukabila pia imefanyika ili kuondoa bias katika final results. Survey imehusisha idadi ya watu 3518 (sample size) ambayo imechaguliwa toka kwa population ya 38,368 JF members (current JF members). Sample hii imetokana na Confidence level = 99% at 3% error level. Data analysis imefanyika kwa kutumia current SPSS statistical software (for frequency statistics).

Matokeo:

• Asilimia 85% (2990) ya respondents wamesema hawaitaki serikali ya JK

• 10% (352) wamesema bado wanaitaka serikali ya JK

• 5% (176) wamekuwa neutral (hawakuonyesha wako upande gani kwa opinion zao)

My take (conclusion):

• Kwa wale wanaofanya social studies (kama kina Prof.Mukandara et al), we need these kinds of surveys more frequently to give a wakeup call to our lazy and corrupt leaders.

• Kuna wale watakao argue kuwa study hii sio representative of the countrywide opinions (kwa maana ya sample size ndogo), lakini wajue kuwa JF members wanawakilisha maoni ya watu from all parts of the country (and abroad).

• Kuhusu credibility yangu katika kufanya hili, be informed kwamba Nderi wa ngosha is a big time researcher. Nawasilisha.

Nice Joke !! ... hehehehehe! .. it should be vice versa asilimia 85% ya watanzania wamechoka na vurugu za chadema! maandamano kilakukicha.. wabunge hawakai majimboni mwao.. kuzuia maiti zisizkwe etcl...

 
Huu ndo ukweli uliowazi ambao unadhihirishwa kwa mijadala ya watu mitaani, barabarani na ktik maandamano ya chadema.
 
Hilo halina ubishi ni kweli kabisa tena nadhani kama hukufanya utafita vizuri number of sample size haikuwa kubwa nadhani ni asilimia 90% hawamtaki.
 
sasa nyie si mlisema kura zimeibwa kwenye uchaguza na sasa mnasema ukifanyika uchaguzi atashindwa, inamaana mnakubali alishinda kihalali?
 
Nakubaliana na utafiti wako lakini katika majumuisho yako umesahau kuweka neno moja kama matokeo ya uchaguzi hayatachakachuliwa na ccm kwa kusaidiana na vyombo vya dola.
 
labda wewe na familia yako ndio hao 85%, JF inajulikana kuwa wamejaa wanacdm ulitegemea nini kama kuna njemba zina kesha humu kuimba wimbo wa CDM.

Usifanye masihara ndugu yangu, hata ccm leo wangeanzisha social network kama hii nakuhakikishia wangeifunga baada ya muda mfupi sana maana wapenda mageuzi wangekuwa wengi kuliko ccm, hapa JF hakuna usajili kwa kuangalia wewe ni chama gani, na kama cdm ni wengi basi hiyo ndio hali halisi ya TZ kwa sasa kwa class ya watu wenye access na mtandao, kwa wengine sijui lolote.
 
labda wewe na familia yako ndio hao 85%, JF inajulikana kuwa wamejaa wanacdm ulitegemea nini kama kuna njemba zina kesha humu kuimba wimbo wa CDM.

Unaishi dunia gani?Kila siku mnalialia JF imejaa CDM lakini ninyi wana-Chama cha Mafisadi bado mpo tu.HAMNA KWENU?
 
Back
Top Bottom