Asilia

Lolza duh ama kweli Nyerere alifanya kazi kubwa kuuanganisha watanzania kwa kiswahli imagine kama ingekuwa kila kabila na lugha yake duh so mchezo
 
bibi%2Bna%2Bbabu.jpg

Hii ndio raha ya ulanzi, wanyalukolo mpo???

huyi baba yake banza stone ?
 
Tehe wadau hicho kitindi kimetulia mnooooo. Kuna siku tulienda cheza Mpira Tanangozi, basi baada ya game wenyeji wakatuletea plastiki mbili za lita kumi kumi za mtogwa hahahaha yaani wa bariidiiiiiiiiiiii, si mchezo. Haya wale wa Njia panda ya Tosa pale napo balaaaaaa nshakunywa pale mpaka tukalala kilabuni, bado hujatua kitwilu mwana nooooooooooooooma tupu. Kibwabwa na mwisho mother of all IPOGOLO PIKA POMBE aka IPP, pale ni Mixer ukitaka komoko (KOMONI, Mtogwa, Mkangafu, Mdindifuu) pale ndo KISIMA. Enzi hizo tukiita KITETE, aaaan NYELAAAAA Vanyalukola NDAULIIIIIII!!! makasi!!!!! aaah IRINGA RAHA TUPU jamani watani zangu wahehe mpooo, Karibuni Nyumbi iii bombii hii mje mnywe MYAKAYA maana komoni mnayo
 
Mnjagila, hapa nimecheka hadi basi!!!!
 
Mnjagila, hapa nimecheka hadi basi!!!!

Kaka bado hujatu INDIUKA pale napo balaa, ushakutana na wale jamaa wanabeba ulanzi kwenye baiskeli wanautoa ihemi/Tanangozi wanaenda uza mjini? utakuta kundi km la watu saba msululu kwenye baiskeli nyuma wamebeba yale madumu makubwa yamejaa ulanzi. kwa vile safari ni ndefu kidogo na wao wanatumia nguvu, ili kurudisha energy utaona wamechomeka PIPE kwenye dumu mpaka mdomoni kwake huku safari inaendelea jamaa ana SIP/NYONYA tu kitete/ULANZi mpaka afike mjini yuko BWAX hahahhahah Nyelaaaa!!. nasikia Mzungu alijitahidi kuuweka kwenye kopo akashindwa maana kila siku inavyokwenda ndivyo status yake ina change, unaanza na mtogwa mara Mkangafu mara mdindifu mwishowe utakuwa CHANG'AAAAaaa hahahah WANYAMUMO MPOOOOOOOO!!!!!
 
Nakumbuka mara ya kwanza kutest hiyo kitu ilikuwa so mchezo inaua joints na kujifeel kama una malaria duh
 
halafu ukimalisa mkangafu na fingamba na masebele we niangusage tu sambi sote sako ndauli beee!
 
Back
Top Bottom