Zing
JF-Expert Member
- Jun 24, 2009
- 1,767
- 470
Ni kweli mkuu wameanza zamani sana lakini sababu SIV (ambayo huwa ipo kwenye nyani inafanana sana na HIV basi uwezekano mkubwa ni kwamba ilibadilika kutokana na mazingira kutoka SIV hadi HIV..
Ni kweli hizi zote ni theory na hazina uhakika lakini hii theory nadhani ni more plausible kuliko zile nyingine...
Mbona wataalam wengine wanasema mwili wa binadamu umeishi na kirusi cha HIV kwa muda mrefu bila madhara. na bila kusababisha AIDS. iweje ghafla HIV ndio iwe cause of AIDS.