Che Kalizozele
JF-Expert Member
- Jul 20, 2008
- 777
- 49
Wakati niko shule, yaani shule ya msingi, sekondari na hata chuo, nilikuwa naamini kabisa kwamba kiswahili ndiyo lugha yenye umiliki wa neno mama.
Pia nilikuwa naamini lugha nyingine zinazotumia neno mama, zitakuwa zimetohoa kutoka katika lugha ya kiswahili.
Lakini nimegundua lugha nyingi sana zinatumia neno hili hivyo kuingiwa na udadisi wa kutaka kujua asili hasa ya neno hili.
Wapi lilikoanzia na imekuwaje limetapakaa kiasi hiki?
Mwenye kujua tafadhali.