Asili ya mwanamke

Sitachoka

JF-Expert Member
Nov 17, 2011
3,027
1,299
Habari! Kwa heshima na tahadhima nipo mbele yenu ukiwa/mkiwa kama mdau/wadau wangu wakubwa ufanikishae mambo yangu mengi kwa namna moja hama nyingine, nina kazi naomba niwashilikishe mnisaidie kwa mawazo yenu kwa ni muhimu sana kufanikisha jambo lenyewe. Ninataka kuandika kitabu kihusucho wanawake hasa mahudhui yake yakiwa huu ndiyo undani/asili ya maisha ya mwanamke, nikuombe sasa wewe mdau wangu nisaidie kumfahamu huyu mwanamke ni mtu wa aina gani kwa mapana zaidi, tabia zake zikoje, anapenda kuishije, mabadiliko yake utegemea nini hasa na katika kipindi gani? Na mengine mengi yamhusuyo huyu mwanamke, karibu changia bila kejeri nitashukuru sana kurifanikisha ili kupitia wewe.
 
Jaribu kufanya case study bro..
I mean tafuta wanawake kama 10 hivi afu kaa nao..
Ndani ya mwaka mmoja utamjua mwanamke ni nani..
 
unachotaka kufanya sio kipya
kimeshaafanywa na wengine
labda lugha kwako ndo iwe tatizo
vitabu vipoo viingi tayari
 
kwani wanawake wote wanafanana kama zabibu za dom??

Tabia za mwanamke wa Tandahimba na oxford ni sawa?
 
kwani wanawake wote wanafanana kama zabibu za dom??

Tabia za mwanamke wa Tandahimba na oxford ni sawa?
hata wa Tandahimba wapo tofauti.............................
kwa kumsaidia tu kama hicho kitabu anataka kuandika kila tabia ya kila mwanamke ajiandae kuandika library. ndo maana wenzie wanachukuaga sample.
kila la heri mwayego
 
unachotaka kufanya sio kipya
kimeshaafanywa na wengine
labda lugha kwako ndo iwe tatizo
vitabu vipoo viingi tayari
rafiki simulizi ni tamu kuliko kusoma. ninapokuwa naandika na-enjoy data collection kuliko literature review. ingekuwa kuna uwezekano wa kuandika bila ku-cite wengine nadhani kuandika kungekuwa more interesting. wewe mwenzangu vipi?
 
rafiki simulizi ni tamu kuliko kusoma. ninapokuwa naandika na-enjoy data collection kuliko literature review. ingekuwa kuna uwezekano wa kuandika bila ku-cite wengine nadhani kuandika kungekuwa more interesting. wewe mwenzangu vipi?


Upo rafiki?

mimi naona its true aisee but mtu na mtu sometimes
 
Upo rafiki?

mimi naona its true aisee but mtu na mtu sometimes
Nipo rafiki, labda tunapishana tu mitaani huku.
Ni kweli inapishana mtu na mtu, lakini kusoma hakunogi aisee (at least to me).
huyu ndugu yetu hapa anaona uvivu kusoma hata vitu obvious, sasa sijui ataandikaje? au labda alishasoma sasa anakusanya data. atufafanulie basi kama sisi ni sample yake, na atupe guideline ya exactly data anayoitaka. maana hapa akisema kila mtu aseme kuhusu mwanamke hakuna mtu ataweza kufanya hata nusu ya kitu anachotaka
 
watu bana eti wanazungumzia simulizi hizo simulizi si zimeandikwa na kusimuliwa na watu,lini na ninyi mtaandika simulizi zenu.kama hamwezi kumpa mawazo nyamazeni yeye anataka kutoa simulizi yake kwa mawazo na maneno ikiwemo akili yake.kaka usikate tamaa songa mbele ikibidi elekeza utafiti wako mahali pengine.eti simulizi inanoga wewe utasimulia lini ili watu wanogewe? hala.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom