Asili ya majina

Msasani - kwa mzee Mussa Hassan
Dar es salaam - Bandari salama
Bongo - mazingu
 
Mikocheni=Michael Chan, jamaa wa Kichina aliyeishi pale long ****a.
Kawe= Cow Way, kulikuwa na njia ya Ng'ombe ya kuelekea machinjioni enzi za Mwingereza....
 
Newala- New well waingereza walijenga kisima kipya huko, wazawa wakashindwa kusema new well
 
***** uchi - Kunduchi

hahahaha,,, japo ni jukwaa la joxx.... Wewe hapa umeyudanganya sana bwana...waliita ivo kwa mantiki gani sasa ndugu yangu?? Yani kwamfano cow way kulikua na njia ya kupita ng'ombe ndo pakawa hadi pakaitwa kawe,, sasa huko kundduchi ina maana watu walikua wanakaa sana mi........ Uchi au???
 
Chekereni - Check rail makutano ya barabara reli

Kariakoo - carrier corps

Tabata - "utapata" Kulikua na mhindi maarufu alikua na duka eneo hilo, mara wateja wakiuliza bidhaa, kama ipo anajibu 'tabata', wakampa jina la mhindi wa 'tabata'
 
Marikiti-market.
Baiskeli- basi kweli..jamaa kuona mzungu akiendesha baiskeli kwa 1st tym alishangaa na kusema basi kweli ana weza kuendesha..basi kweli basi kweli ikazidi mpaka ikaitwa baiskeli..ni utani tu.
 
Bagamoyo-bwaga moyo

mlingotini-"milingoti iliyosimama" wajerumani kila wakikata minazi(milingoti) ili kujenga barabara inaota(inasimama) kesho yake.
 
MAKONGOLOSI huko chunya==== ilikuwa making loss
AGHALI====GARI
IRINGA===== RIRINGA
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom