Asili ya jina Tanzania na mwasisi wake: Mohammed Iqbal Dar

Kagoma Bhihusi

Pole. Ama historia ina"kuona" au ulifundishwa na mwalimu kilaza. Nani aliyekwambia kuwa Baba wa Taifa ndiye aliyebuni hilo jina? Halafu, tofautisha kati ya kubuni jina la Tanzania na kuasisi Taifa la Tanzania.
 
Last edited by a moderator:
Kwanza mjina wenyewe alioubuni ni kama una laana hata yeye alijua katupeleka chaka kwa hilo jina ndiyo maana akakimbia na kubadili kabisa uraia.

Kama angekuwa yeye mwenyewe yupo proud asingekimbia bali angeuishi uvumbuzi alioufanya. Katutia nuksi na hilo jina halafu anatupigia kelele, alitaka apewe nini? Mgodi? Jimbo? Au....?
 
Hawa jamaa wa Imani ile....! Huwa wanapenda sana kulala kama vile demu au mtoto, sasa tukianza kukumbukana kila m2 aliyeanzisha kitu tutafia kweli?

Mbona yule mzee alianzisha CUF Alex Mapalala mbona naye hatajwi na watu wanajua kuwa mwanzilihsi ni Uamsho?

Daily kulalama tu oooh mara tulianzisha TANU, sasa tukianza kukuñbuka kila m2 si ndo itakuwa kasheshe?

Vip kuhusu founder wa wimbo wa taifa mbona hamsemi? Vipi kuhusu mwasisi wa mapinduzi ya Zanzibar John Okelo mbona naye hatajwi?

Hapa hakuna hoja zaidi ya chuki za waislamu kwa baba wa taifa maana hata wanaotetea si ndio wanaomtukana daily Nyerere humu.
 
Hawa jamaa wa Imani ile....! Huwa wanapenda sana kulala kama vile demu au mtoto, sasa tukianza kukumbukana kila m2 aliyeanzisha kitu tutafia kweli?

Mbona yule mzee alianzisha CUF Alex Mapalala mbona naye hatajwi na watu wanajua kuwa mwanzilihsi ni Uamsho?

mawazo mgando ndugu yangu kwani nini maana ya histiria. hiyo ndiyo sababu watu kama wewe wafikiri cuf imeanzishwa zbar bali ni bara na mkristo mapalala ndiye mwanzilishi.
 
Kwanza mjina wenyewe alioubuni ni kama una laana hata yeye alijua katupeleka chaka kwa hilo jina ndiyo maana akakimbia na kubadili kabisa uraia.
Kama angekuwa yeye mwenyewe yupo proud asingekimbia bali angeuishi uvumbuzi alioufanya. Katutia nuksi na hilo jina halafu anatupigia kelele, alitaka apewe nini? Mgodi? Jimbo? Au....?

Mkuu hawa watu ni wa ajabu kidogo! Usione wanashadidia "kutambuliwa" kwa mwasisi wa jina Tanzania wana lao jambo si bure! Kwa kawaida kitu fulani kikihusishwa na kitu ambacho ni negative na interests zao wala hutawasikia wakileta hoja kama hizi hapa; sana sana watamtupia lawama Nyerere.

Lakini kwa kuwa wana interest fulani na hilo jina angalau kwa sasa, wanafanya kila njia kulinafsisha kwa "mtu wao". By the way, si alishapewa zawadi na barua ya shukrani na Serikali wanataka nini tena?Hii inazidi kuthibitisha jinsi Mwalimu alivyokuwa na utu akithamini mchango wa raia wake bila kujali umri, rangi, dini, jinsia, nafasi katika jamii, au "jina" lake.

Ingekuwa leo, Bw. Mohammed Dar "angechinjiwa" mbali na ubunifu wake kujimilikisha mtoto wa kigogo (mifano iko mingi - Bara na Visiwani) lakini kwa Mwalimu haikuwa hivyo - hata maskini walipewa haki zao!
 
Sasa karibu kila kitu kinataka kuitwa J.K Nyerere, kumbe kuna watu wengine wengi wana historia katika nchi hii.
 
Aaaah kwa hiyo ni kweli huyu Jamaa, mwenye asili ya kihindi ndiye alishinda hayo mashindano na ndie aliyeipa hii nchi jina Tanzania? oopsss, history yetu inaonyesha hatuwezi kukwepa uhindi na uarabu uliokuwepo hapa kwetu, kwani hata Dar es Salaam nasikia ni kiarabu pure.

Si Kiarabu tu, ni jina linalopatikana ndani ya Qur'an 10:25:

وَاللّهُ يَدْعُو إِلَى دَارِ السَّلاَمِ وَيَهْدِي مَن يَشَاء إِلَى صِرَاطٍ مُّسْتَقِيمٍ

WaAllahu yadAAoo ila dari alssalami wayahdee man yashao ila siratin mustaqeemin

But Allah doth call to the Home of Peace: He doth guide whom He pleaseth to a way that is straight.

Na Mwenyezi Mungu anaita kwendea Nyumba ya Amani, na anamwongoa amtakaye kwenye Njia Iliyo Nyooka.

Nmefuatilia comments za wananch kinagaubaga; pia nmejarib kuongea na baadhi ya wazee kuhusu terms zilizowekw kwenye gazet kw ambaye ambaye angeibuka kidedea. kutokana na hvyo napenda kusema kuwa swala la jamaa kuingizw kwenye historia n nonsense, coz prize ilkuwa n ule muamala aliopokea pale ndipo contract ilipokamilika ishu ya historia ingetakiwa kufuata kwenye offer nyingine ambayo haikufanyika
 
Nashukuru kwa kuniongezea hilo katika maktaba ya kichwa changu.
hata mimi nashukuru kuongeza uelewa kuhusu jina Tanzania. nilijifunza kuhusu huo muundo wa jina lakini sikuwa nafahamu hasa nani alihusika kulipata. Huyo bwana Dar anamsifu sana Nyerere na anataka aenziwe nami naona ni vema sana. nafikiri pia ingefaa tutafute mji mmoja hasa kati ya Dodoma na Dar es Salaam uitwe jina la mwalimu kama ilivyo Washington kule USA kama heshima kwa rais wa kwanza wa taifa hilo kubwa.
pia picha ya mwalimu iwe ya kudumu katika fedha yetu hasa noti ya shs 10000
sasa kwa vile bwana Dar ni mtaalamu tumpe nafasi ili ashindanie tena kati ya yale majina ya mwalimu Kambarage na Nyerere yawekweje na ni mji gani upewe hilo jina.
 
Kwanza mjina wenyewe alioubuni ni kama una laana hata yeye alijua katupeleka chaka kwa hilo jina ndiyo maana akakimbia na kubadili kabisa uraia.

Kama angekuwa yeye mwenyewe yupo proud asingekimbia bali angeuishi uvumbuzi alioufanya. Katutia nuksi na hilo jina halafu anatupigia kelele, alitaka apewe nini? Mgodi? Jimbo? Au....?
Mkuu usiwe so aggressive mi naona jambo hili limekuwa la kihistoria na ni kiasi cha histori kutaja tu jina hili lilivyopatikana na si kumpa zawadi yoyote
 
pia kuishi katika eneo lingine si kukimbia hasa bali ni utashi wa mtu na namna alivyojipanga hata hapa Dar kuna watu wametoka huko bara wamehamia hapa na wa hapa wameamua kuishi say, mwanza. hii haina maana wamepuuza makwao kwa vile kumelaaniwa.nafikiri nature ya profession yake ni kigezo kimojawapo kilichomfanya aende London na hatimae kuomba uraia wa huko
 
Si Kiarabu tu, ni jina linalopatikana ndani ya Qur'an 10:25:

وَاللّهُ يَدْعُو إِلَى دَارِ السَّلاَمِ وَيَهْدِي مَن يَشَاء إِلَى صِرَاطٍ مُّسْتَقِيمٍ

WaAllahu yadAAoo ila dari alssalami wayahdee man yashao ila siratin mustaqeemin

But Allah doth call to the Home of Peace: He doth guide whom He pleaseth to a way that is straight.

Na Mwenyezi Mungu anaita kwendea Nyumba ya Amani, na anamwongoa amtakaye kwenye Njia Iliyo Nyooka.

Mkuu mi nakuaminia, huwa hubabaishi. Unaweka pointi unatupia na vielelezo. Safi sana. Huwa napenda kuona comments zako.
 
Ni Historia nzuri ambayo hata Mimi lazima nikiri sijawahi kuisikia. Historia hii ilipaswa hata iwe kwenye Jumba letu la Makumbusho ya taifa.

Nampongeza alifanya kazi nzuri sana na anastahili kuwa kwenye kumbukumbu za nchi hii.
 
Back
Top Bottom