Asili ya jina la Manzese

mtafungwa

Member
Feb 27, 2012
74
16
Kuna tetesi kwamba asili ya jina la Manzese (Dar) ni Manchester (ya Uingereza). Wataalamu wa lugha mnasemaje kuhusu hili? Ni kweli?
 
Leo jamaa yangu naye katoa mpya: eti jina Msasani chimbuko lake ni Mwarabu aliyefahamika kwa jina la Musa Hassan. Na kwa sababu ya umbumbumbu wa wabongo wa wakati huo (nina uhakika hata wa leo) wao wakaamua kuchapia jina Musa Hassan kama Msasani. Jingine lililooniacha hoi ni chimbuko la jina Msumbiji. Nalo jamaa yangu akatanabaisha kuwa lilitokana na jina la mwarabu (inaaminika alikuwa mswalihina safi) aliyekuwa akiishi miaka hiyo nchini humo na akijulikana kama Musa Mbiki.
 
Point of correction:Ni Mousa Bin Bek siyo Musa Mbiki,ni kweli alikuwa ni mwanazuoni wa kiarabu aliyekaa kwa muda mrefu sana pwani ya msumbiji na alikuwa na Madrasa kubwa sana iliyomfanya awe na followers wengi na kuwa maarufu kabal ya wareno hawajaingia msumbiji,inaaminika kuwa alikuwepo huko tangu kati ya 15 na 16.
 
very interesting! Guys whoever knws the origin of the name of any place, just post it plz. It's so good to know our roots, so that we can live long enough to narrate it to the next generation.
 
Point of correction:Ni Mousa Bin Bek siyo Musa Mbiki,ni kweli alikuwa ni mwanazuoni wa kiarabu aliyekaa kwa muda mrefu sana pwani ya msumbiji na alikuwa na Madrasa kubwa sana iliyomfanya awe na followers wengi na kuwa maarufu kabal ya wareno hawajaingia msumbiji,inaaminika kuwa alikuwepo huko tangu kati ya 15 na 16.

Musa Hassan lilianza kubadilishwa na wamakonde waliokuwa wengi eneo hilo na kuita kwa 'Nsa' Asani kutokana namatamshi ya kichinga baadae likawa Msasani
 
Mtaa wa WAILES temeke Dar asili yake ni wireless, wakati wa ukoloni kulikuwa na kituo cha mawasiliano ya anga yasiyo tumia waya (wireless), keko magulumbasi, kulikuwa na mzee naitwa MAGULUMBASI huko keko alikuwa anafuga mbuzi wengi sana na alikuwa akiwaachia wakilanda mtaani, ole wako sasa uibe! Tanga asili yake ni "Ntanga" yaani shamba kwa kizugua!
 
Yapo mengi mbona kama MAKUNDUCHI ni Makunduuchi, Chekeleni ni Check Train, Gerezani ni Geryzone
 
Mtaa wa WAILES temeke Dar asili yake ni wireless, wakati wa ukoloni kulikuwa na kituo cha mawasiliano ya anga yasiyo tumia waya (wireless), keko magulumbasi, kulikuwa na mzee naitwa MAGULUMBASI huko keko alikuwa anafuga mbuzi wengi sana na alikuwa akiwaachia wakilanda mtaani, ole wako sasa uibe! Tanga asili yake ni "Ntanga" yaani shamba kwa kizugua!

Keko Magulumbasi kama ilivo Sinza kwa Remi.
 
Tabata,nasikia kuna mhndi aliish pande zile alikua na duka,so kila utakacho ulizia anakwmbia 'tapata'so we go knw tabata,MWANANYAMALA=mtoto nyamanza
 
Back
Top Bottom