Ashughulikiwa na mganga wa kienyeji

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
219,463
911,172
Jamani huu utajiri wa haraka haraka utatufikisha pabaya.

Yupo jamaa yangu wa karibu amekuwa akifanywa mbaya na mganga wa kienyeji kwa minajili ya kutajirika yaani amemuharibu jamaa na hakuna lolote alilofaidika na huenda amekanyagishwa miwaya.

Halahala kwa wale ambao ni watumwa wa mali mtatapeliwa na kujikuta majuto ni mjukuu.
 
Jamani huu utajiri wa haraka haraka utatufikisha pabaya...........yupo jamaa yangu wa karibu amekuwa akifanywa mbaya na mganga wa kienyeji kwa minajili ya kutajirika........................yaani amemuharibu jamaa na hakuna lolote alilofaidika na huenda amekanyagishwa miwaya...........................

Halahala kwa wale ambao ni watumwa wa mali mtatapeliwa na kujikuta majuto ni mjukuu...........................

Naomba taja jinsia zao kwenye red hapo maana ishanichanganya tayari..
 
Hahahahaha hahahaha
ingawa ni sad story lakini nimeshindwa kujizuia kucheka.
Tukue jamani, tumia jasho lako kufikia malengo
 
Hawa ndio wale wako tayari kuua wazazi, watoto , albino kwa ajili ya tamaa zao safi sana mganga. Twende kazi iwefundisho kwa wengine!
 
Huyo nganga nampa big up. mwingine akisikia hayo na jamaa bado hoi pamoja na kutoa issue, watatumia akili zao badala ya short cut.
 
Naomba taja jinsia zao kwenye red hapo maana ishanichanganya tayari.

Inabidi niwatunzie siri..............ujumbe ninaamini umefika hakuna uhaja wa kuwaibisha zaidi ya hapo..............
 
Duh! Mpe pole sana ingawa kajitakia mwenyewe!!
Mimi nina NDUGU yangu alikuwa hata akijikwaa kuna MKONO wa mtu!!!
Aliwahi kupewa MTAJI akaenda kwa MGANGA kutambika eti kapewa hizo MALI kwa msaada wa mganga!!
Hadi leo hana chochote coz kikiharibika haruhusiwi kukiuza!!!!
 
mnh huyo alikuwa gay tu,haiwezekani mwanaume ikawa rahisi hivyo kutoa ta*ko!:redfaces::redfaces:
 
Inabidi niwatunzie siri..............ujumbe ninaamini umefika hakuna uhaja wa kuwaibisha zaidi ya hapo..............
Sasa unatunza siri gani wakati umekwishatuambia kuwa jamaa analiwa na mganga?Si umalizie tu hiyo siri ambayo mwanzo wake umetupa?
 
sio ww kweli?

Mkuu umenichekesha sana ingawa sikutaka kucheka kwa issue hiyo. Lakini kweli huenda jamaa anatujuvya wanajamii tumhurumie na kumpa moral support. Tumwambie akapime kama kaikwaa miwaya kweli au la. Kama yeye ndiye mganga wa kienyeji na hako kamchezo kanampunguzia urefu wa maisha. TiGo sio za kushabikia hasa kwa miafrika ambayo inaiga wazungu kwenye video hata kuwazidi waanzilishi. Wakati mwingine miafrika hovyo sana, mzungu akitembea uchi na lenyewe linaiga ati ni fasion mpya. KUmbe wazungu wanacompute tu hawafanyi ha ha ha ha hahaaaaaaaa!
 
jenga picha jdume unatomaswa na kibabu kinanuka shombo...pembejeo yake ya uzazi inashughulika juu ya makalio yako huku anakunuizia mistari ya'waungwana'......!! muumba apishilie mbali!!
 
Jamani huu utajiri wa haraka haraka utatufikisha pabaya...........yupo jamaa yangu wa karibu amekuwa akifanywa mbaya na mganga wa kienyeji kwa minajili ya kutajirika........................yaani amemuharibu jamaa na hakuna lolote alilofaidika na huenda amekanyagishwa miwaya...........................

Halahala kwa wale ambao ni watumwa wa mali mtatapeliwa na kujikuta majuto ni mjukuu...........................

Source.........?
 
Yaani hapo ni mchanganyiko wa ujinga na upumbavu, kweli mtu anakwambia ili akupe utajiri inabidi akutafune kwanza na wewe unakubali, mmh, hapana, tamaa gani hizi jamani!
 
Mali ipatikanayo pole pole hukaa na kudumu.

Huwezi kupanda ngazi ya 10 wakati hujapita ya kwanza mpaka ya 9

Utapasuka Msamba.

Mungu ndiye atupaye nguvu za kupata utajiri, atakubariki shambani, kazi za mikono yako, kapu lako,
chombo chako cha kukandia .............
 
Back
Top Bottom