Ashakum c matuc-mwandishi alawitiwa?!

Udhaifu wa lugha yetu ya Kiswahili....Masanilo alionekana amepakatia laptop yake kwenye mapaja....sidhani kama maana yake nailawiti! .....

Neno kupakata linatumika kwa "viumbe hai"! huwezi kupakata Laptop!

Kwa usahihi anayepakatwa ni kiumbe hai kisicho na uwezo wa kukaa chenyewe wakati fulani - e.g unampakata mtoto umlishe.

Kwahiyo kuandika kuwa Balile "amepakatwa" na "mafisadi" ni TUSI
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom