AshaDii, The Boss na wapenzi wa bollywood Must see hii!

Viper

JF-Expert Member
Dec 21, 2007
3,667
1,400
Naam! jana nimepata nafasi ya kuona movie ya 1995 Raaz " The mystery continues" movie bomba! ina nyimbo 3 bomba ndani yake !

raaz2_full.jpg

u can download hapa http://www.kat.ph/raaz-2-2009-dvdrip-eng-subs-xvid-hindi-no-rars-t2060611.html
 
Last edited by a moderator:
kaka lete movie nyingine hasa za kijeshi na kiinteligensia

mkuu si unajuwa bollywodd wamekaa kima lavi davi zaidi.. lakini hii ni mixer na thriller kidogo! jaribu utaniambia
 
Viper my kaka hebu nifundishe na mie nipate angalau interest ya kuangalia na kununua movie hizi naona kama ni ndeeeeeeeeefu sana kuimba kunachukua asilimia 75 ya movie ..harafu Lugha mwenzangu ..angalau ya Malikia tunaenda sambamba ..hii ya kina Mituni daah Aisharya Rai sijui na nani huyu Mallika Sherawat
 
FL1 dada yangu.... movies hizi ni tamu sana! tafuta BLUE RAY DVD Yenye subtitle ... kule kukimbia kimbia kwenye nyimbo ndipo urojo/ utamu wenyewe ulipo pale... give it on trial ...
 
Back
Top Bottom