AshaDii: "JF Woman Of The Year 2011"

Tuko umenivimbisha kichwa hapa.... zawadi ipo in what form ili nikupe maelekezo? THANK U....lol

I am not sure maana bado nilikuwa sijaiwaza...

Postal address itanifaa sana. I am serious...
 
Tuma kwa M-pesa kwenye number yangu nitamfikishia.

My mwali upo sharp wewe!!! lol Umejuaje ni pesa?

Kama kuna watu walinishawishi kujiunga na huu mtandao,wa kwanza ni Jamaa yangu hapa.
Wapili na watatu ni AshaDii na Lizzy,...niliwapa shukrani zangu siku ya kwanza tu kuingia.Mna tufundisha mengi jamani.
mbalikiwe sana.

These words are of inspiration jamani..... THANK U.
Nakumbuka pm yako and I was so humbled.... Ubarikiwe dear. Pamoja Saaana.

Hongera sana AshaDii, kwa kweli wastahili,

Japo sikupiga kura kutokana na kutingwa na shughuli za hapa kibaruani kwangu, lakini mwanangu Cantalisia alikuwa anani-Up Date kwa Text akinijuza kila hatua ya upigaji kura.

Usijali kakangu, wewe tupo bega kwa bega kwa mambo mengi,
Hili uliwakilishwa na wengi ambao waliweza na ilikua ndani ya uwezo wao....
Pamoja saana Mtambuzi...
 
You Deserved, AshaDii...:poa:poa

Thanks Manyanza.... Humbled.... alafu why the pingu jamani?

Sidhani,Mx

Dazipozi yule wifi kakukimbia? Mbona wajitoa roho? Usijali kuhusu matokeo.... Just pretend huna habari...

@ADI

kwa mamlaka niliyonayo kama bodi gadi
naamuru wadaiwa sugu woote, wataifishwe pesa hizi.

hahahha.... Yooote tisa!!! Mimi nakupongeza tu kwa kuniwezesha jana kuweza pata robotatu ya madeni.... Kweli kazi yako waijua vema na zile pound nakupatia roho hata hainidundi....lol
 
....pheeewwww, finally...

Hongera kwenu, kwangu mie nyote mu washindi jamani...:first:
 
lizzy.jpg Hongera dada AshaDii
 
I am not sure maana bado nilikuwa sijaiwaza...

Postal address itanifaa sana. I am serious...


Kama ni hivo... Please tell kwanza ni zawadi gani ili nione kama ipo reasonable.... No hard feelings, sina nia mbaya ila tu I am not always that comfy nikae tu nasubiri zawadi, inaweza ikawa more than I imagined nikashindwa rudisha.... Ukishindwa hapa hata ni pm Tuko....
 
AshaDii popote pale ulipo. Hebu come this way nikupongeze live. Kuwa WoY wa 2011 ni heshima kubwa kuliko ile ya Asha mwenzako. Ai miin Asharose Migiro. Usingeshinda ningetembea uchi Kariakoo. U deserve my darling shem. U deserve.
 
Kipipi bana! hii mikwala yake utazani yeye hadaiwi. Hapa natetea wadaiwa wote ujue. Halaf Ashadii aliniPM anasema wewe umekopa used night dress khaaa!

Wewee......hapo Ashadii alikuokota tu, mi ndo namdai hela ya pakti za ubuyu....alikopa juzi!!! Heheh alafu lawyer nitake razi, mie navaaga ovaroli bana sio night dress! Khaaaa!
 
Back
Top Bottom